Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?


Umenena vema mkuu....kama ulikuwa kichwani kwangu!
 
Hakuna mwanaume asiye penda kuoa mwanamke mzuri na mwenye shape kama hao wawili,tatizo ni kwamba zaidi ya asilimia 50 ya wanawake wazuri hawana sifa za kuwa mke.Mke si uzuri kama ambavyo wengi ya wadada wanavyo jidanganya,wanawake wanaojijua kuwa ni wazuri wengi ni viburi,hawajaui kunyenyekea,wapo selective sana katika kuchagua mwanaume wanajifanya wanatafuta mwanaume handsome na mwenye kazi nzuri wakiamini ndio wanaendana na wengi wao hawana akili za maisha badala yake wanaangalia material things ambavyo havina msingi katika ujenzi wa familia.

Na kubwa ni kwamba kutokuwa kwao na sifa za kuwa mke husababishwa na kusumbuliwa sana na wanaume kwahiyo wanajiona kuwa wana nafasi ya kupata mwanaume yoyote hivyo wanakuwa viburi
 
Duu; huu sasa ni wivu wa wazi kabisa. JIBU, tunaangalia tabia/heshima, Hivi huyo unaemlinganisha na kisu unataka tueleweje? wewe uambiwe kuna mume hapa ni kisu utamwelewa kweli? kisu maana yake ni public property huyo, anafyeka kila kilicho mbele yake, hafai kwangu kuoa
 
hapana huyo mume ni wangu inabidi ww utafute mwingine

mke mwenza jana usiku umenifanya mpaka nikalia ujue...nilimpigia simu mme ilikuwa saa sita usiku nijue kama kashalala na alikula maana anakuwaga bize sana mchana,kupiga simu inatumika kuanzia saa sita usiku mpaka saa nane..nilipata homa ya gafla..,kaja kupiga saa tisa eti alikuwa anaongea na mama mkwe nikawa mpole,kweli jamani au ndo ulimbana....
 
Wanawake warembo wengi wanajisikia sana kutokana kusifiwa. Ndo maana hata wewe unasema wao husema wapo wapo bado.Kutokana na hilo basi hujiweka kwenye grade fulani na huweka vigezo vya wanaume wanaowataka. Uzoefu ni kwamba wanaume wenye kumudu level yao huwa wameo na hivyo wengi wao kufanywa michepuko. Ikitokea mwanaume single amemtamani basi anaweza kujitoa mwanga mwanzoni ili ampate kukidhi tamaa yake baadaye atasepa tu. Kutokana na kusifiwa wazuri basi hizo sifa huwafunga kiakili na kufikiria kila siku ni jumapili.Wakija kushtuka muda huwa umepita baada ya kuona waliokuwa wanajigonga wamepungua. Hivyo wengine huishia kuolewa na yeyote atakayejitikeza.
 
wazuri sana si wa ndoa, ni wa kupigia picha tu
 

Mwenzangu naona hujakubaliana na kazi yake wewe..ukiijua kazi yake hilo halitakusumbua na utalala kwa amani.
Kumbuka anafahamiana na wengi kwahiyo hata fonibuk inakuwa na watu wengi. Tulia mama akija kwako "mwambie karibu bebi wangu nafurahi sana nikikuona" mpeti peti mume bibiweeeee, acha kuwaza anachepuka,utaumwa bure.
Mi kwangu sijamuona siku ya 5 hii lakini akija nitampokea kwa mahabat yoote.ila usimwachie sana mamamkwe gani anaongea nae masaa mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…