hivi wanaume mbona mna mioyo migumu hivyo

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga na kumdhalilisha mbele ya wanae jamani inauma sana
 
inakuwaje mwanaume
huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto
nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia
mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala
anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha
mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga na
kumdhalilisha mbele ya wanae jamani inauma sana

nakubaliana nawe 100%
 
akome ujinga wake mwenyewe!
hivi ninyi wanawake wengine mna akili au matope kichwani, maana ningesema mna colgate ingekuwa afadhali. wewe wazazi wamehangaika na wewe mpaka ukafika chuo, halafu linakuja li mwanaume na kukushawishi uache likuoe, na wewe unakubali, halafu yakitokea hayo unalalamika!! shame on you, big shame.
Mi ni mwanaume, lakini ningekuwa na mwanamke wa type hiyo hata sitaki kufikiria ningekufanya nini maana badala ya kutumia akili kufikiria we unatumia kidudu chako, in the name of love,,, haaaaaa! na siajabu aliolewa bila hata kuhusisha wazazi,
akome kabisa
 
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga

Wanawake wenyewe wanachangia,mambo ya small house hayo kaenda bagamoyo kumtia kwenye chupa mume wa mwenzie .
 
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke
waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba
alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine
haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo
ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye
bado anamnyanyasa anampiga

Wanawake wenyewe wanachangia,mambo ya small house hayo kaenda bagamoyo
kumtia kwenye chupa mume wa mwenzie .
 
hivi na wanawake na sis hatuna akili na huyo ambaye amehamishiwa mapenzi kiukweli hajiulizi maswali kama mwenzangu amefanyiwa hivi na mimi ntafanyiwa hivyo au kajisahau maana mtu ni yuleyule jamani
 
Wanawake wenyewe wanachangia, mambo ya small house hayo kaenda bagamoyo
kumtia kwenye chupa mume wa mwenzie

ushirikina unakwaza vingi!
 
Kwa taarifa yako mwenye roho ngumu ni huyo anayekubali hata kuacha chuo kisa kukimbilia kuolewa wacha afundishwe dunia ikoje.Tena 2000 nyingi sana anatakuwa 500 kabisa ili akumbuke upuuzi aliofanya
 
msimhukumu jamani ametengenezewa mazingira ya kutojiona hana thamani ni heri tu aendelee na hayo maisha
 
Mahaba yake mwenyewe yamemponza!alijifanya anajua kupenda kuliko wanawake wote pole yake,nawaonea huruma watoto lakini huyo mama alichagua mwenyewe hayo maisha!wanaume ni wakuwapenda juujuu hamna haja ya kwenda deep!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Huyo mwanamke ana akili zake au?
Huyo mwanamke ana ndugu na wazazi au? Basi hata marafiki?

Anapigwa yumo tu? Anateswa yumo tu? Haya bwana mwambie achague......
 
akome ujinga wake mwenyewe!
hivi ninyi wanawake wengine mna akili au matope kichwani, maana ningesema mna colgate ingekuwa afadhali. wewe wazazi wamehangaika na wewe mpaka ukafika chuo, halafu linakuja li mwanaume na kukushawishi uache likuoe, na wewe unakubali, halafu yakitokea hayo unalalamika!! shame on you, big shame.
Mi ni mwanaume, lakini ningekuwa na mwanamke wa type hiyo hata sitaki kufikiria ningekufanya nini maana badala ya kutumia akili kufikiria we unatumia kidudu chako, in the name of love,,, haaaaaa! na siajabu aliolewa bila hata kuhusisha wazazi,
akome kabisa
I look well after my kids...kwahiyo siyo kweli wanaume wote ni kauzu. Ila kina dada wengi wakiwa chuoni priorities zao huwa haziangalii future...wanaangalia kuanza kwa kupanda gari na kuishi kwenye ghorofa bila kujari gharama yake inakuwaje
 
Mahaba yake mwenyewe yamemponza!alijifanya anajua kupenda kuliko wanawake wote pole yake,nawaonea huruma watoto lakini huyo mama alichagua mwenyewe hayo maisha!wanaume ni wakuwapenda juujuu hamna haja ya kwenda deep!

Mhhhhh.......Wakikusikiaaaaaa!!!!!!
 
mnaweza fanyiana bifu zote na kwa sababu zozote but ni upumbavu kuhamishia matatizo yenu kwa watoto
 
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga na kumdhalilisha mbele ya wanae jamani inauma sana

Kwa ujumla hili ni kosa na wala si ubinadamu hata kidogo. Lakini kitu kikubwa ambacho ndo huwa chanzo cha matatizo yote haya ni msingi wa mahusiano kati ya mume na mke. Kama hakuna 'good terms' kati yenu mara nyingi hutokea imbalance kati yenu na mmoja hujiona superior dhidi ya mwenzake. Kama anayejihisi inferior akiendelea kuonyesha hali hiyo, anayejihisi superior huweza kuamua kufanya jambo lolote atakalo (haijalishi kama ni mwanamke au mwanaume). Cha msingi yanatakiwa kuwepo mawasiliano ya kutosha kati ya pande hizi mbili hata kabla ya kuwa na familia/watoto ambao mapenzi yenu kwao yatategemeana na namna mnavyoishi na kukubaliana. Mfano mwingine mzuri waweza kuwa juu ya matumizi ya fedha kwa familia suala ambalo mara nyingi ndo huwa chanzo cha migogoro. Mpango wa matumizi kwa familia si wa baba au mama peke yake bali ni wa wote. Tujifunze kwa manufaa ya watoto wetu ambao wanajifunza toka kwetu sisi wazazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom