Hivi wamarekani wamelogwa?

Huyo Yesu unaye mtaja hata humjui na wala hufuati mafundisho yake.
Ni vipi uliitie jina lake?

Sijjasema ussenge ni maeneleo bali nimesema mendeleo ya kiuchumi kisiasa na kisayansi yakifikia kiwango cha juu, uwazi nao huwa ni wa juu kabisa.

Tanzania kuna wassenge wengi na mabasha wengi hakuna anayebisha hilo.

Nchi itakapoendelea kiuchumi kisiasa na kiutamaduni umwazi nao utakuwa wa juu kabisa.

Nani ataogopa kujiita mssenge au basha kama uwazi uko wazi.

Mimi nimesema ninacho kiona hapa.


Kitendo changu cha kusema nikionacho hapa USA kinakufanya uamini kwamba ninaipenda na kuitamani tabia hiyo.
Sikukatazi wewe binafsi kuamini kwamba mimi naupenda ussenge ila naomba usimwingize Yesu kwenye hitimisho lako binfsi kwani hajakushauri useme uyasemayo.

Kwahiyo unawatetea!!!!



Kwahiyo unataka kusema kwamba hili dubwana ni kilelezo cha maendeleo????????? Tobaaaaaa! Tutawajua kwa kauli zao tu, si dalili ya mvua ni............Wanaopenda utawaona tu maandishi yao. Upone katika jina la YESU.



God forbid by fire and water...
 
Back
Top Bottom