Aise nachukia kuona watu wa aina yako wanachangia hapa jukwaani. Huna logic
Putin is a living devil mwisho wake unakaribia
Putin is a living devil mwisho wake unakaribia
Msimsmo wako UPI , Putin auwe kwa sababu pia USA anaua au nini mkuu maana haueleweki..naona kama kusema Russia iuwe (kosa) kwasababu pia USA ana uwa(kosa) sasa nini utofauti wa USA na Russia ikiwa wote ni wakosaji. Na kwanini umtetee Russia ikiwa pia nae anafanya makosa yaleyale ya USA!?
Do they even care.. nchi maskin kama hii ambayo haina impact yoyote kwenye dunia hata ikitoka mbele kusema waz naunga mkono russia.. watu wala hawataiskia hyo saut.. hahahaWaambie watoto wako ukweli.
Waambie ukweli ndugu na dada zako.
Sema ukweli kwa marafiki zako na ulimwengu.
Vita vya Iraq?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Vita nchini Afghanistan?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Vita nchini Libya?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Vita vya Vietnam?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Vita vya Korea?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Vita visivyoisha na uporaji wa Afrika?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Nani aliwafanya Waafrika kuwa watumwa kwa miaka 500?
Wanachama wa NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji Italia n.k…)
Nani alimuua Thomas Sankara?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Nani aliwaua Patrice Lumunba na Laurent Désiré Kabila?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Nani anawaunga mkono marais madikteta walioko madarakani barani Afrika tangu 1960?
- Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Nani wanahusika na vita vya DRC, uporaji wa mali?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Mapinduzi barani Afrika na duniani kote?
Unapochimba vizuri nyuma utaona kila wakati USA [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani, nk ...)
Nani alimuua Gaddafi?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k ...)
Nani anafadhili ugaidi duniani?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani, n.k…)
Nani aliipiga kwa bomu Côte d'Ivoire wakati wa Laurent Bagbo rais mteule aliyerudishwa kwa miaka 10 katika mahakama ya ICC?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k…)
Na hivyo tunataka kuifanya Urusi [emoji635] ionekane kama nchi inayoleta matatizo katika ulimwengu huu [emoji288].
Kwa sababu tu rais wake Vladimir Putin hataki USA [emoji631] na NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani n.k.) waweze kukaribia mipaka yake na kuweka vituo vya kijeshi na silaha za maangamizi huko ambazo zitabeba tishio. kwa usalama wa nchi yake (Hii ndio sababu ya mzozo wa sasa nchini Ukraine [emoji1255])
Fupi! Je, Urusi [emoji635] tayari imeunda nini kwa vita barani Afrika?
0 vita tangu mwaka 0 hadi leo 2022.
Nani anaisaidia Mali kuikabili Ufaransa leo?
Urusi [emoji635], bila hivyo sote tunajua kuwa Mali ingeangamizwa kama Libya katika siku zijazo.
Hapana, lakini watu, inabidi tuwe serious kwa muda!
Vipi Putin ni dikteta au shetani? Katika nini???
Yeye ambaye hajawahi kupigana vita barani Afrika, wala kuunga mkono rais dikteta madarakani, wala kumuua rais aliye madarakani kama USA [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k.) amekuwa akifanya hivyo.
Na kama Putin ndiye aliyeishambulia Libya kwa mabomu na kuwaua Gaddafi, Thomas Sankara, Patrice Lumunba, Laurent Désiré Kabila, n.k… tungesema nini kumhusu?
Mwanadada huyo anatetea tu masilahi ya nchi yake dhidi ya USA [emoji631] na NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani, nk ...)
__________
Ulimwengu lazima ujivunie Putin, ambaye angeweza kuikomboa sayari hii, dunia hii yote kutoka kwa mikono ya mashetani hawa ambao ni USA [emoji631] na NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, nk…)
Uishi Urusi [emoji635]
Maisha marefu Putin
Kila jambo lina mwanzo na mwisho, na ni wakati wa kurejesha usawa wa kisiasa katika ulimwengu huu.
Hakuna tena udikteta wa Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, n.k…)
Nina mashaka kiwango chako cha ufahamu maana mifano yako ya kijinga na kitoto mno .Kwa hiyo ni sawa Tanzania iivamie msumbiji na kumpindua rais wao kwa sababu kuna waasi na wanasumbua kule Mtwara?
🤣🤣🤣🤣🤣sholi
Maswali hayo waulize wanawake wenzako ambao kesho mtakuwa kwenye siku zenuKwa hiyo ni sawa Tanzania iivamie msumbiji na kumpindua rais wao kwa sababu kuna waasi na wanasumbua kule Mtwara?
Vipi kuhusu mauaji yaliyofanywa na US huko Itak, Afgjanisian na Libya?
Jamaa maswali yake hayana msingi kabisa na kuendana na anacho kitetea kama mtoto wa darasa la 6 jinsi anavyouliza.Maswali hayo waulize wanawake wenzako ambao kesho mtakuwa kwenye siku zenu
PUMBA TUPU sababu ya ujinga wako wa kujipendekeza kwa USA na nchi za Ulaya, na Watu kama ninyi hamuishi ndiyo mwasababisha dunia izunguke [emoji34]Huko uarabuni wengi ni magaidi wasipovamia ugaidi ungeharibu dunia
Nikumbushe wakikujibu ChifuHivi Urusi ikiivamia Tanzania ni sawa kwa sababu Marekani iliivamia Iraq?