Hivi wakenya wanatuzidi wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wakenya wanatuzidi wapi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by white wizard, Jul 18, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,344
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia haya mashindano yanayoandaliwa na kituo cha television cha CNN.kwa waandishi wa habari na watangazaji,kila mwaka.mbona watanzania cwaoni wakiibuka washindi! Kila mwaka wakenya ndio wanaochukua tuzo hizo kwa wingi!tatizo lipo wapi jamani?au ndio mambo yetu yale yale..,
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 1,989
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Tanzania na Kenya ni kama Pwagu na Pwaguzi hakuna haja ya kujilinganisha au kujifananisha na looser mwenzako. Kenya 40% ya watu wanaishi chini ya $1 kwa siku!!. Tufikirie mbali jamani
   
 3. REBEL

  REBEL Senior Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  lugha.
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,663
  Likes Received: 4,266
  Trophy Points: 280
  tatizo ni lugha...
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,564
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Baba wetu wa taifa JK Nyerere alifanya mambo mengi mazuri lakini aliharibu hapo kwenye lugha tu na ndpo wenzetu walpotuzd, tumuombe mungu baba wetu wa pili wa taifa hili Dr Slaa akiingia mwaka 2015 hili jambo lazma alichukulie kwa mapana yake la sivyo tutaishia kila siku kuhangaika.
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lugha sio quality. Ina maana wapasha habari wa russia ni wabaya wanapolinganishwa na US? unaweza kufanya kazi ya quality nzuri kwa lugha yoyote. Tatizo itakua kwenye professionalis. Watanzania wanaspecialize katika udaku. Hawatoi source, wanaongelea hisia zao hawafati facts etc. Lakini kuna wale wazuri pia na kama gazeti na vyombo vingine vya habari vitawapa nafasi kama wanavopewa wapasha habari wa kikenya basi watatoboa pia.
   
 7. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 739
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  ...media ya tanzania haina weledi!wameconcetrate na habari zinazowapa kula..briefly they feed on garbage stories!wanafikiri tanzania ni dar tu! bt kuna mambo mengi sana yanayoweza kuwapa tuzo kama watumia muda wao kuibua changamoto hizi hasa vijijini..elimu,afya,mazingira,umaskini..so many, bt hawawezi wanapenda vitu cheap! they r LAZY! very few do not belong to this category, especially wanahabari wakongwe km Jenerali,Hamza nk bt not vijana!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Wakenya wanatuzidi kwa lugha na sisi tunawazidi kwa madini. tanzania tajiri kweli, ila viongozi wetu hawa ubongo kabisa, kama zipo basi iq zao zipo below zero.
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Sasa kama watu wenyewe walioko kwenye media ndio akina Kibonde, Michuzi unategemea nini?
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  hili suala la lugha sikubaliani nalo moja kwa moja, kuna mwandishi wa Angola alipata tuzo na makala yake ilikuwa kwa lugha ya Kireno.

  Tatizo letu kutafuta tuvisingizio tu tudogodogo badala ya kuangalia wapi hasa tulipoangukia.
   
 11. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawatuzidi lolote labda sifa,kujiamini.na kinachowabeba hawa jamaa ofisi nyingi za kimataifa za kikanda zipo pale nairobi na hyo nairobi tu ndo kumeendelea ila huko kakamega sujui naivasha papo kama chalinze tu
   
 12. T

  Tata JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,535
  Likes Received: 492
  Trophy Points: 180
  Hapo hapo ndio kwenye tatizo hata kwa waandishi wa Tanzania - Hawana UBONGO. CNN hawaangalii lugha peke yake wanaangalia na mantiki ya maandiko pamoja na uwezo wa mwandishi wa kupanga hoja zinazoeleweka.
   
 13. k

  kiloni JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shrewedness
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,535
  Likes Received: 492
  Trophy Points: 180
  Kama rais anasema msongamano uliokithiri wa magari ni mafanikio ndani ya nchi basi jua bongo ya anaowaongoza haitofautiani na yake. Sasa hivi tunasingizia kutokuwepo mvua kama sababu ya mgawo wa umeme wakati kumekuwa na matatizo ya uhaba wa mvua kwa zaidi ya miaka ishirini na wote tunajua.
   
 15. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shule!
   
 16. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasisitiza shule,lakini pia objective reporting...unategemea nini kama waandishi wenyewe ndo kina KUBENEA...imagine,3 years mtu anayjiita mhariri wa gazeti anaandika habari za mtu mmoja,STUPID!
   
 17. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hoja hapa ni kwamba wakenya wanang'ara zaidi kwenye tuzo za CNN na sio watanzania...ninavyofahamu tanzania na kenya kiingereza sote ni lugha ya pili...hakuna justification yoyote inayompa mkenya a competetive advantage kwenye lugha ya kiingereza sote ni lugha luliyojifunza....ni ujuha tu ndio unaotufanya tushindwe.
   
 18. f

  fazili JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,124
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  tulichelewa kuingia kwenye soko huria na ushindani hivyo akili zetu zikawa nyuma ya watu wengi lakini hata hivyo tuna catch up vizuri tu na baada ya miaka kama 20 hivi tutakuwa tishio kwa mambo mengi pamoja na uchumi pia
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  sasa hapa suala zima la kutopata tuzo kisingizio kimekuwa lugha tu....hatuangalii hata vigezo vingine (sidhani CNN wali specify lugha za kutumika). Waandishi wetu wajitahidi kufanya kazi kitaaluma zaidi na nina imani kazi zao zitatambulika. Jiwe unalokwaa litumie kama stepping stone kuendelea mbele si kuanza kutafuta visingizio.Kwenye lile jopo la majaji kulikuwa na wakalimani wa lugha mbali mbali kwa hiyo hata kazi za kiswahili zingeingia na kutafsiriwa tu.
   
 20. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,386
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Wakenya wamechukulia fani ya habari kama fani za sheria, udaktari, uhandisi nk. Kwetu sisi watu wanavamia fani ya habari bila shule yoyote (kanjanjaism) na hao ni wale waliofeli form IV. Mashindano yakija lazima tulazwe chali.
   
Loading...