Hivi Waislamu Wana Madhehebu? Dr Omar Juma na Maalim Seif walizikwa haraka sana tofauti na msiba wa sasa!

Nakumbuka Maalim Seif asubuhi tulitangaziwa amefariki saa 4 tukawaona wako Msikitini Upanga Wanamswalia saa 8 wakawa Unguja wanamuaga na saa 11 akazikwa Pemba

Kwanini ilikuwa haraka vile au Waislamu mko tofauti tofauti kama Katoliki na Protestanti au Sabato?

Jumaa Mubarak
Mwili wa Rais akishakufa inakuwa mali ya serikali

Protokali za dini hazifuatwi tena, zinafuatwa za serikali
 
Back
Top Bottom