Sniper JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,915 709 Jul 8, 2011 #1 WanaJF, naomba kujuzwa, hivi wabunge wanalipa ushuru au hawalipi wakiwa wanaagiza magari kutoka nje ya nchi?
WanaJF, naomba kujuzwa, hivi wabunge wanalipa ushuru au hawalipi wakiwa wanaagiza magari kutoka nje ya nchi?
Sniper JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,915 709 Jul 8, 2011 Thread starter #3 Maverick said: Wanalipa VAT hawalipi import duty. Click to expand... Shukrani kunifahamisha, je na yale malipo mengine Dumping Fee? Excise Duty?
Maverick said: Wanalipa VAT hawalipi import duty. Click to expand... Shukrani kunifahamisha, je na yale malipo mengine Dumping Fee? Excise Duty?
MANI Platinum Member Feb 22, 2010 7,320 6,376 Jul 8, 2011 #4 Sniper said: Shukrani kunifahamisha, je na yale malipo mengine Dumping Fee? Excise Duty? Click to expand... Ili kupata msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma gari lazima lisiwe na vigezo vya dumping fee excise wanalipa.
Sniper said: Shukrani kunifahamisha, je na yale malipo mengine Dumping Fee? Excise Duty? Click to expand... Ili kupata msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma gari lazima lisiwe na vigezo vya dumping fee excise wanalipa.
N Nguto JF-Expert Member Apr 11, 2011 3,669 1,791 Jul 8, 2011 #5 Gari lazima liwe la si zaidi ya miaka kumi kupata exemption. Likizidi hapo wanalipa import duty na vat.
Gari lazima liwe la si zaidi ya miaka kumi kupata exemption. Likizidi hapo wanalipa import duty na vat.