Hivi wabunge wanalipa ushuru wakiagiza magari?

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,976
707
WanaJF, naomba kujuzwa, hivi wabunge wanalipa ushuru au hawalipi wakiwa wanaagiza magari kutoka nje ya nchi?
 
Shukrani kunifahamisha, je na yale malipo mengine Dumping Fee? Excise Duty?

Ili kupata msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma gari lazima lisiwe na vigezo vya dumping fee excise wanalipa.
 
Gari lazima liwe la si zaidi ya miaka kumi kupata exemption. Likizidi hapo wanalipa import duty na vat.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom