Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,926
Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.Aisee kweli rudia kusoma Historia ya China hata kabla ya Ukoloni..., China ilikuwa imepiga hatua kubwa as a Civilisation hata kabla ya hao waliokuja na kuwachanganya wengine kwa lazima kulazimisha biashara ya Opium... kwa ufupi tu ngoja nikuonyeshe inventions za China ambazo western walizichukua credit.... (Watu China mnaiangalia kwa wasiwasi sana);
Na vitu kama Biogas au Aquaculture huko imekuwa ikitumika tangia kitambo... Na pia nimekwambia as Egypt being in Africa unajua ni mambo mangapi yaligunduliwa Egypt ?
- Paper making
- Printing Press
- Gun Powder
- Umbrella
- Silk
- Acupuncture
- Porcelain
- Earthquake detector
Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.Aisee kweli rudia kusoma Historia ya China hata kabla ya Ukoloni..., China ilikuwa imepiga hatua kubwa as a Civilisation hata kabla ya hao waliokuja na kuwachanganya wengine kwa lazima kulazimisha biashara ya Opium... kwa ufupi tu ngoja nikuonyeshe inventions za China ambazo western walizichukua credit.... (Watu China mnaiangalia kwa wasiwasi sana);
Na vitu kama Biogas au Aquaculture huko imekuwa ikitumika tangia kitambo... Na pia nimekwambia as Egypt being in Africa unajua ni mambo mangapi yaligunduliwa Egypt ?
- Paper making
- Printing Press
- Gun Powder
- Umbrella
- Silk
- Acupuncture
- Porcelain
- Earthquake detector
Sasa hivi wapo wapi ?Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.
Huwa nawazaga tu Tz tulikuwa tunafanya nn enzi hizo au ndo masuala ya long distance trade.
Mimi nataka kujua hii elimu tunayosoma sisi mtaala kabuni nani Mwafrika ama Mzungu?Kwani wachina walibuni somo la engineering mbona leo wanajenga manuclear na miradi mingine?
Huku Tz viongozi wetu wapigaji naamini wakiwekeza zaidi kwenye elimu tutafanya maajabu.
Nadhani shida inayoisumbua Afrika ni viongozi wake. China wanaviongozi wenye msimamo sana kama Xi Jinping na Mao the dong ila viongozi wa afrika ni wapigaji na wasiokuwa na msimamo. Ndo maana wachina wameendelea kuliko sisi.Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.
Kama unakili kuwa China walikuwa vizuri kale nayo Egypt ilikuwa vizuri sasa swali langu linabaki pale pale leo hii China ipo wapi na waafrika mpo wapi ?
Kuna sehemu kuna mabaki ya kufua vyuma, kuna pottery tofauti tofauti kuna misonge nyumba, kuna wagogo na nyumba zao za kuweza kutumika pia kuanika vitu kutokana na mazingira yao ya ukame (kuna Tabora na uhifadhi wao wa mboga kutokana na ukame) Necessity is the mother of all Invention..., Sasa kama wewe mtungi unao na maji yanakuwa poa tu (kwanini uweze kutengeneza fridge)? Na kama ukitoka nje tu unapata Natural Air Condition kwanini uhangaike na Artificial One...Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.
Huwa nawazaga tu Tz tulikuwa tunafanya nn enzi hizo au ndo masuala ya long distance trade.
Sawa kabuni mzungu ila elimu yetu imepitwa na wakati tunatumia elimu iliyoletwa na mzungu miaka ya 1900 unategemea iendane na mahitaji ya dunia ya 2000.Mimi nataka kujua hii elimu tunayosoma sisi mtaala kabuni nani Mwafrika ama Mzungu?
Ndiyo mwafrika akishatatua changamoto yake basi ameshatosheka. Mfano mpemba akishatengeneza mtumbwi wake basi kashatosheka ila mzungu anaenda mbali na kujiuliza "kwann mtumbwi unaelea?" matokeo yake anavumbua meli kubwa,nyambizi na maboya mwafrika kazi yake ni kununua tu.Kuna sehemu kuna mabaki ya kufua vyuma, kuna pottery tofauti tofauti kuna misonge nyumba, kuna wagogo na nyumba zao za kuweza kutumika pia kuanika vitu kutokana na mazingira yao ya ukame (kuna Tabora na uhifadhi wao wa mboga kutokana na ukame) Necessity is the mother of all Invention..., Sasa kama wewe mtungi unao na maji yanakuwa poa tu (kwanini uweze kutengeneza fridge)? Na kama ukitoka nje tu unapata Natural Air Condition kwanini uhangaike na Artificial One...
Kwahio hata Egpty kugundua irrigation kulikuwa hakuna jinsi they had to do that or perish.... Au kwanini mtu aliyepo huko Dodoma agundue mtumbwi badala ya mtumbwi kugunduliwa na mtu wa Kanda ya Ziwa ?
Tatizo lako na waafrika wanaofikiria kama wewe ni kuwa hampendi basic reading and research , ndio maana hamjui vumbuzi za weusi wenzetu.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Hizo ni Happenstance naweza kusema Great Britain ilikuwa juu, Industrial Revolution ilishika kasi huko (sasa hivi wapo wapi)? Na kama unashindwa kuona impact ya Colonialism katika Africa (na hadi vichwani mwetu mental slavery) na ndugu zetu waliopelekwa nje mababu zao kuwa watumwa hence being fed mentality kwamba wao ni inferior na sub par basi nadhani unaangalia mambo nusu nusu...Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.
Kama unakili kuwa China walikuwa vizuri kale nayo Egypt ilikuwa vizuri sasa swali langu linabaki pale pale leo hii China ipo wapi na waafrika mpo wapi ?
😀😀 wewe mtu dahMtu mweusi ni nyani anayefana kwa mbaali na Binadamu
You should build on the shoulders of the giant..Kwan unataka tuanze kufanya vumbuzi ya scientific laws na formulae ambazo Tyr zipo itakuwa ni kupoteza muda...inabidi tufikirie mbali zaidi...namna ya kutatua changomoto zetu katika jamii yetu ya Kiafrika badala ya kuannza kufikiria atom Ina composition Gani au kurusha rocket kwenye space...we should deal with our local problems kwanza kwenye context yetu ya kiafrika...Hiyo elimu ya engineering imetoka wapi? Yaani wewe uwe unajambo lako utamchagua mkaririji ama aliyetunga mtihani?
Mzee unaandika upuuzi na unatetea ujinga.Hizo ni Happenstance naweza kusema Great Britain ilikuwa juu, Industrial Revolution ilishika kasi huko (sasa hivi wapo wapi)? Na kama unashindwa kuona impact ya Colonialism katika Africa (na hadi vichwani mwetu mental slavery) na ndugu zetu waliopelekwa nje mababu zao kuwa watumwa hence being fed mentality kwamba wao ni inferior na sub par basi nadhani unaangalia mambo nusu nusu...
Nikigawa Zama katika Historia Katika Zama za Kale, Kati na Mawe je unadhani wakati wengine wapo wanachonga mawe au wengine huko wamegundua moto na kuanza kupika au kufua Chuma, Africa tulikuwa bado Zama za Kale tunasubiri kutawaliwa ? After all Historia inatwambia sisi ni moja kati ya Chanzo chaVizazi hapo Olduvai Gorge..... Ila ndio hivyo wajanja wameona fursa na badala ya kuita watalii huku kuona chanzo chao sisi kila siku tunahangaika kwenye Hijja sehemu za watu wengine (Mentality)
Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii
Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...www.jamiiforums.com
TehTumeumbwa tofauti kaka, wezetu akili zao zipo kichwani ila sisi akili zetu zipo chini. Kila tukijaribu kuwaza mambo ya msingi tunajikuta huku chin kunasimama na kwa upande wanawake kunawasha.
Ila siku akili zetu zikihamia kichwani basi tutafanya mautundu mengi sana
Viongozi wanatoka kwenye jamii.Nadhani shida inayoisumbua Afrika ni viongozi wake. China wanaviongozi wenye msimamo sana kama Xi Jinping na Mao the dong ila viongozi wa afrika ni wapigaji na wasiokuwa na msimamo. Ndo maana wachina wameendelea kuliko sisi.
Umeuliza nini na kama unauliza unapewa Jibu unaona la Kijinga basi tafuta jibu lako mwenyewe...Mzee unaandika upuuzi na unatetea ujinga.
Kama unaona akili zipo kwenye ngozi na sio kuchangiwa na culture / utamaduni na utamaduni ni mambo mnayofanya kama jamii (na hauoni kwamba kuna connection ya kilichotokea jana na kinachofanyika leo) basi nadhani hata ninavyoongea ni level nyingine kabisa kwako inabidi nianzie kwenye basics...Hakuna hata ulichojibu kwa nilichokuuliza excuses za kijinga tu unaleta hapa.
Hayo mambo ya ngozi nani kayazungumzia hapa ?Umeuliza nini na kama unauliza unapewa Jibu unaona la Kijinga basi tafuta jibu lako mwenyewe...
Kama unaona akili zipo kwenye ngozi na sio kuchangiwa na culture / utamaduni na utamaduni ni mambo mnayofanya kama jamii (na hauoni kwamba kuna connection ya kilichotokea jana na kinachofanyika leo) basi nadhani hata ninavyoongea ni level nyingine kabisa kwako inabidi nianzie kwenye basics...
Nadhani wewe you belong on dark ages na wale wenye fikra za Eugenics wangekufaa sana na wala usingelazimishwa tu bali mwenyewe ungeamua kwenda kuishi na mifugo... Kweli Emancipation from Mental Slavery inatakiwa kwa Kasi ya Ajabu...