Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,243
- 1,989
- Thread starter
-
- #101
Life sio Black or White na kuna so many happenstances.., huenda tungekuwa na maendeleo huenda tungechinjana huenda chochote kile kingetokea ila exploitation ya Africa imesababisha Africa kudumaa na miji kama Liverpool au Nchi kama Belgium kuendelea for that fact...
Ila kama dunia nzima na watu as species wote tukiungana na kuchukua mazuri toka pande zote kwa ajili ya kupambana na mazingira yetu kama binadamu.., basi binadamu kwa ujumla tutaendelea zaidi kuliko tulivyoendelea sasa hivi..., Case in Point mfano NATO ambaye ni USA pia kwa kuwashinikiza wenzake na kuwashauri kwamba waache kutumia Gas kutoka Russia hivyo kutumia gharama zaidi kwa alterntive ni upuuzi wa kujipiga mwenyewe risasi..., (Sasa hivi hata Ujerumani imeshuka sana katika industrilization na nchi kama China inauza magari yake sana Ulaya kuliko ulaya wenyewe) hadi wanakuja na story za tariff...
Mfano vita vya Dunia viliathiri sana Ulaya.., Kuchukuliwa kwa Creme de la Creme ya Waafrica kama watumwa viliathiri sana Africa... Ila kwa jicho la Globalist kama mimi yote hayo yameleta athari sana kwa dunia nzima katika upigaji wa hatua (Na upuuzi anaofanya sasa hivi Israel huenda ndio ukatengeneza magaidi wa keshokutwa)
Nachotaka kusema kinachofanyika leo ndio determinant ya kesho...
Kwataarifa yako wapo CIA , FBI na majajusi wa Marekani wanaotokea Afrika. Black race sio hasara mamayor wengi wa Marekani ni watu weusi. Hadi mayor wa Newyork ni mtu mweusi ( search Eric Adams)black race waafrica ni hasara kwa dunia
dunia ya leo haitaki watu sampuli ya waafrica
Dogo huna akili sawa.🤣🤣🤣Unajua kwa sababu ww ni chupi sio Kila mtu ni chupi kama ww
Hao wameanzisha hawajagundua.Utaajirije bila kuanzisha kitu?
Unajua kitu kinaitwa World Technology
Google ujue kuanzisha Africa
Sasa hizo ni akili au fani?Kwataarifa yako wapo CIA , FBI na majajusi wa Marekani wanaotokea Afrika. Black race sio hasara mamayor wengi wa Marekani ni watu weusi. Hadi mayor wa Newyork ni mtu mweusi ( search Eric Adams)
Kwahiyo akili tunazo lakini?Hata kipindi cha utumwa na ukoloni badala ya Machifu wa kiafrika kuungana kwa umoja kupigana na wazungu.
Wengi wao walishirikiana na wazungu kuuza watu wao utumwani kwa kudanganywa na vizawadi na ahadi uchwara.
Watu weusi tumeanza kusalitiana, kubaguana, kuchukiana na kutoshirikiana tangu enzi na enzi.
Wazungu ni wajanja sana, wanapendana sana wao kwa wao na wana shirikiana kulinda maslahi yao kwanza.
Hata wakati wa ukoloni wazungu waliamua kuweka tofauti zao pembeni wakafanya Berlin conference kugawana ardhi ya bara la Afrika kwa amani.
Lakini cha kushangaza, sisi waafrika badala ya sisi pia kuungana kwa pamoja kusaidiana. Tulitengana na kusalitiana.
Tena waafrika wengine waliungana na wazungu kuwapiga waafrika wenzao.
Watu weusi tangu kale tumejawa na chuki, husda na usaliti. Ndio maana hatuna mchango wowote hapa duniani zaidi ya kuzidisha umaskini duniani.
Unasema wazungu hawapendi tuwe wagunduzi?Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unasema wazungu hawapendi tuwe wagunduzi?
Sasa kama tuna akili ya kugundua wazungu wanahusikaje kwenye kupenda au kutokupenda?
Huo ndo upunguani anaouliza mleta mada. Kwanini waafrika tunategemea wazungu?
Akili gani?Kwahiyo akili tunazo lakini?
Hiyo elimu ya engineering imetoka wapi? Yaani wewe uwe unajambo lako utamchagua mkaririji ama aliyetunga mtihani?Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa k
Sometimes elimu inaweza ikaleta akili Kwa mtu ambae hakuwa na akiliMi nahisi ishu sio Elimu bali ni akili.
Kumbuka gunduzi zote zilifanyika ndiposa zikawekwa kwenye maandishi.
Hiyo sio hoja kubwa Mkuu.
Lakini swali la kujiuliza au hawa wenzetu wana elimu yao ya siri ya teknolojia.
Ebu fikiria hata kifaa kidogo kama MEMORY CARD kimeundajwe undwaje mpaka ikawa na uwezo wa kutunza music etc.
Kwani wachina walibuni somo la engineering mbona leo wanajenga manuclear na miradi mingine?Hiyo elimu ya engineering imetoka wapi? Yaani wewe uwe unajambo lako utamchagua mkaririji ama aliyetunga mtihani?
Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....Lakini nahisi Waadzabe hawakutawaliwa na mabeberu.
Huenda Waafrika tungekuwa kwenye hali ile mpaka sasa.
Kweli nimeamini hatuna akili aliyekwabia maji ni chanzo cha umeme ni nani??Lakini bado ni gunduzi ndogo sana ukicompare na wenzetu.
Ebu imagine mtu aliwaza vipi kuwa umeme chanzo chake kinaweza kikawa maji na sio maji ya baharini wala ziwani.
Sometimes huwa nawaza labda wazungu wana siri katika teknolojia zao au labda wana ubongo tofauti na zetu.
FBI ni kazi inayohitaji watu wenye akili sana unakuta tukio la uhalifu limetokea bila ya kuachwa ushahidi wowote lakini mtu anaweza kuanalyse ile crime scene vizuri na kujua yaliyotokea hatua kwa hatua.Sasa hizo ni akili au fani?
Watu wanapeleka lawama kwa wazungu mbona wachina wanatoboa angali wanawekewa vikwazo mnoUnasema wazungu hawapendi tuwe wagunduzi?
Sasa kama tuna akili ya kugundua wazungu wanahusikaje kwenye kupenda au kutokupenda?
Huo ndo upunguani anaouliza mleta mada. Kwanini waafrika tunategemea wazungu?