Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kuwa kampeni rasmi za uchaguzi mkuu wa 2025 zilianza Agosti 28, 2025 na zinatarajiwa kukamilika Oktoba 27, 2025, siku mbili kabla ya kupiga kura.
Kwa hiyo, kisheria vyama vyote vilikuwa na muda sawa wa kujinadi kwa wapiga kura. Lakini kiuhalisia, mazingira yamekuwa tofauti CCM inaendelea na mikutano mikubwa katika mikoa mbalimbali, huku vingine vikionekana kimya au kutoonekana kabisa kuendelea na kampeni. Hata ACT tunawaona wamekazana kufanya kampeni Kigoma tu je, wameshakata tamaa mapema hii?