Viwanda vinajengwa na wananchi au wawekezaji. Serikali kazi yake ni kulegeza sheria zisaidie hilo suala, Basi.
Sembe kwanzaWaziri wa viwanda anasema kazi ya serikali siyo kujenga viwanda ni kuweka mazingira mazuri watu waje kujenga viwanda.
je wasipokuja kujenga hivyo viwanda hata kama mazingira yatakuwa mazuri serikali itawandanganya nini tena watu wake ifikapo 2020?
View attachment 468907
can u mention at least 20 industries under magufuli leadership?Mkuu viwanda vinajengwa vingi tu..
Nchi nzima ipo busy na ujenzi hivi sasa..
Serikali inafanya makubwa sana hii..
Ondoa hofu.
Kampuni za Viroba si walisema vinafungwa kwahyo vinazidi kupungua [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahahaha!
Hii ni Tanzania ya viwanda.
Huoni viwanda vya matofali, viroba, umbea, uwongo, ujinga, kufeli vyote hivyo ni viwanda
Mkuu ulishawahi kusikia tena ile kauli ya dikteta magufuri akisema "haiwezekani haiwezekani" sasa haipo mambo yashashindikana Viwanda hamna tena naye anapiga hela tu mtajua baadayeWaziri wa viwanda anasema kazi ya serikali siyo kujenga viwanda ni kuweka mazingira mazuri watu waje kujenga viwanda.
je wasipokuja kujenga hivyo viwanda hata kama mazingira yatakuwa mazuri serikali itawandanganya nini tena watu wake ifikapo 2020?
View attachment 468907
Hahahaha,Kampuni za Viroba si walisema vinafungwa kwahyo vinazidi kupungua [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Viwanda vitajengwa usihofu ila nilimsikia siku moja Waziri wa viwanda ....akizungumzia hivyo viwanda, kwa jinsi alivyokuwa anazungumza nikaona serikali itavuka malengo maana hata mashine za kusaga unga zile za mtaani, ukiwa carpenter kikubwa uwe na mashine vyote hivyo ni viwanda....yaani karakana zote zimekuwa defined as viwanda
Ni kweli vinakuja na mie ni mvumilivu kweli ila nilishangaa siku ile Waziri Mwijage alipokuwa anajibu hoja kwa kuorodhesha "KARAKANA" kama ndio viwanda ambavyo vilikuwa vinasemwaMbona mkuu vimeshaanza kuzinduliwa! azam ameshajenga! viwanda vinakuja taratibu tuwe wavumilivu!
Mhhhh na mmeshaambiwa havioti kama uyogaUfafanuzi ulishatoka ni vi-wonder sio viwanda
Vingi sana tu..can u mention at least 20 industries under magufuli leadership?
vingi tu nini? acheni kumumunya maneno nitajie walau 20Vingi sana tu..
Viwanda vya kufyatua matofali...
Vipo vingi tu Viwanda.