Watunzi wa uongo wa ccm sasa hivi wako maabara wakitoka huko hutaamini,lakini pia kumbuka kuna watanzania wengi wamefunga ndoa na ccm,na wapo wanaoamini bila ccm hakuna maisha,so wote hao uongo wowote utakao tungwa wao poa tu
Vyama vya upinzani ni kikwazo ndio maana serikali imeanza kwanza kuhakikisha havipo. Baada ya hapo ujenzi utakuwa rahisi sana. Ni kutamka tu..kiwanda kinakuwa!!
Kujenga Viwanda kunaitaji akili kubwa sana viongozi wetu wako bize na akima Tundu lisu muda wa kutekeleza haadi zao awana hata kidogo huku miaka inakwenda sijui watakuja na msemo gani 2020 Yetu macho
Nafikiri Waziri yuko sahihi kabisa. Serikali yeyote huwa HAIJENGI viwanda ila huweka mazingira mazuri kwa WAWEKEZAJI.
Serikali kujenga viwanda ni sera za UJAMAA. Ambazo hutaka kila kitu kiwe MALI ya serikali. Na matokeo yake huleteleza uchumi kuanguka!
Unatakiwa utoe takwimu halisia , na jinsi uratibu wake kisekta, na nmna vikavyoratimu msisimko kiuchumu na kuwa na uchmi ensevu kiviwanda, mm kimaoni yangu kukimbilia viwanda , bila kujipanga namna ya kuoata malighafi, teknolojia, , umeme, maji, sera nzuri ya kodi na fedha, ni kujidaganya.
Maana leo sekta kubwa ya kutoa malighafi kama kilimo bado iko hoi, sekta ya nishati iko hoi, sekta ya fedha , kuwa na mabenki yanayoweza kutoa mitaji ni bure, sekta ya maji bure, usafirisha bado hoi, kiukweli uchumi wa viwanda ni nadharia na kujidanganya , kuwa muda mfupi hui ni propoganda uhalisia kitakwimu ni bure