Yani haya mambo yana utata sana,Sigara na bangi hawa watumiaji cjui kama
Wanapata madhara maana
Kila sku wanaongezeka
Me ngoja nifkirie bar gani
Ntaenda kumalizia weekend
Yang leo
Addiction na Ubinadamu, Mfano mimi ni Public Health Advocate huwa nawashauri watu wachemshe maji ya kunywa lakini mimi huwa sichemshi kabisa, nakunywa maji yoyote na sipati madhara yoyote - Nawashauri watu kutumia kondomu lakini binafsi nachukia ila basi tu.Daktari anakushauri uache kuvuta sigara ukitoka nje unamkuta anavuta sigara
Hebu nitajie mtu ambae bangi imemuharibu akili then tulinganishe tuone wale wagonjwa kule milembe nao walivuta bangi?Madhara yapo tena makubwa sana na yanaua mamilioni ya watu kila mwaka - Hayapigwi marufuku kwasababu yameshakuwa biashara kubwa ndio maana unawekewa tahadhari tu - Tembelea mahospitalini uone watu wanavyosuffer kwa kansa za Mapafu na TB kwasababu za sigara, unaposema bange huoni akili za wavutaji zinavyokuwaga - hili halihitaji utaalamu wowote
Mkuu Stunter naunga mkono hoja ndio tulitoa ushauri huu kuhusu ile biashara kuu liko zoteMambo mengi tunayasikia na kuyasoma lakini baadae tukija kwenye maisha halisi tunakuta ni tofauti,
Mfano-
BANGI: Hii nayo inapigwa marufuku na watu wengi sana wakisema inaharibu akili,
lakini chakushangaza wale watu waliotumia wengi ni wenye maneno ya busara, wametoa ukombozi katika mataifa yao mfano Che guevara, Obama,
Wamefanikiwa sana katika maisha yao, na wengine wamejikusanyia mashabiki wengi duniani kutokana na vipaji vyao mf. Bob marley.
SASA UNAJIULIZA MBONA VITU VINAVYOONGELEWA VIKO TOFAUTI NA UHALISIA?
Yapo mambo mengi yenye utata lakini naomba tuyajadili hayo kwanza.
Sasa umeona sasa?Addiction na Ubinadamu, Mfano mimi ni Public Health Advocate huwa nawashauri watu wachemshe maji ya kunywa lakini mimi huwa sichemshi kabisa, nakunywa maji yoyote na sipati madhara yoyote - Nawashauri watu kutumia kondomu lakini binafsi nachukia ila basi tu.
Is 20% Normal ( Huyo ni mtu maarufu anayefahamika na ni mvuta bange )Hebu nitajie mtu ambae bangi imemuharibu akili then tulinganishe tuone wale wagonjwa kule milembe nao walivuta bangi?
Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The ...Inabidi tuyafikirie mambo kwa undani kabla ya kuyapokea
Kwani mfanyabiashara anayeuza viatu vipya hua anavivaa yeye kwanza hivyo viatu vipya halafu ndipo huviuza au huviuza vikiwa vipya?Daktari anakushauri uache kuvuta sigara ukitoka nje unamkuta anavuta sigara
Kuna nyuzi humu inayomhusu tunda akiwa maeneo na team yake wakila bata na meza ilivyochafuka pombe kali za kila aina zikiisha zile nadhani kesho yeye na wenzie watapewa ukandarasi wa ile flyover ya tazaraMambo mengi tunayasikia na kuyasoma lakini baadae tukija kwenye maisha halisi tunakuta ni tofauti,
Mfano-
SIGARA: Hii inapigwa vita sana na inasemekana ni hatari kwa maisha, lakini tukija kwenye uhalisia wa wavutaji utagundua wazee wengi wenye umri mkubwa ni wavutaji wakuu wa sigara na still umri wao unasonga, kama vile Bi kidude& Fidel Castro(rip) n.k.
POMBE: Hii nayo inapigwa vita kwa na baadhi kwamba ina madhara kwenye maini na kwenye kinga ya mwili, lakini tukija kwenye uhalisia inatumiwa na madokta, maprofesa, watu mashuhuri kama akina Adolf Hitler(rip), Maraisi na matajiri wa dunia, wacheza soka n.k, na hao wote utakuta wana madaktari wao binafsi,
Ni watu walioelimika n.k,
SASA UNAJIULIZA INAMAANA HAWA WATU WAMEAMUA KUJITOA MUHANGA AU HAWAELEWI MADHARA YA POMBE? Na kama ina madhara mbona wazee wa zamani na hata wasasa wametumia pombe kwa kipindi kirefu na pia wameishi kwa kipindi kirefu?
BANGI: Hii nayo inapigwa marufuku na watu wengi sana wakisema inaharibu akili,
lakini chakushangaza wale watu waliotumia wengi ni wenye maneno ya busara, wametoa ukombozi katika mataifa yao mfano Che guevara, Obama,
Wamefanikiwa sana katika maisha yao, na wengine wamejikusanyia mashabiki wengi duniani kutokana na vipaji vyao mf. Bob marley.
SASA UNAJIULIZA MBONA VITU VINAVYOONGELEWA VIKO TOFAUTI NA UHALISIA?
Yapo mambo mengi yenye utata lakini naomba tuyajadili hayo kwanza.
Na watu kama hao unakuta hawatetereki afya, Mfano P funk Majani...Kuna nyuzi humu inayomhusu tunda akiwa maeneo na team yake wakila bata na meza ilivyochafuka pombe kali za kila aina zikiisha zile nadhani kesho yeye na wenzie watapewa ukandarasi wa ile flyover ya tazara
Unataka kusema wanaotoa ushauri huwa wanafanya kwa mazoea tu? Lakini sicho wanachokimaanisha?Kwani mfanyabiashara anayeuza viatu vipya hua anavivaa yeye kwanza hivyo viatu vipya halafu ndipo huviuza au huviuza vikiwa vipya?
Tafakari.