Hivi viongozi wa chadema wanataka kutuaminisha msaada wa nje ni bora kuliko wa ndani katika kupigania haki zao.

Ni ngumu sana kutofautisha upunguani wako na njaa uliyonayo.....bastard

Mods ban this guy, you have no right to call any member a Bastard. Insults are not called for in this place of intellectuals.

A ban is highly recommend
 
ndani kungekua na msaada wangemtambua angalau gaidi aliemtishia risasi Nape mbele ya media na Kitenge..
tukio kama la lissu hakuna hata mtuhumiwa.
Lakini mkuu hivi unaamini kweli aliyemtishia Nape hajulikani! Mie nadhani si kweli,kuna mengi huwa hatuyajui na hatutaki kukubali kuwa hatutayajua,.
 
kamtumikie Mbowe tu, huna lolote, utakuwa mchaga wewe tena wa Hai
 
Kaangalie kinachotokea katika mataifa hayo utajua hizo haki unazozitaka kama wanazipata. Hukuona clip ya watu wakifanywa watumwa katika moja ya hayo mataifa.

Naelewa kwamba sasa hivi wana maisha ya tabu lakini pia wasingefikwa na yote hayo kama viongozi wao wangeruhusu demokrasia. Mimi binafsi napenda demokrasia kwasababu inaruhusu mtu kuongea mawazo yake na wale waliopewa dhamana ya kuongoza kutekeleza wajibu wao kwa kuzingatia sheria.
 
Wakati ukitaka tutambue kwamba hii ni nchi yetu tuliyopewa na Mungu (of course tunatambua hivyo), tunakutana na wewe utambue kwamba sote ni Watanzania...sio kukaa unaita wenzako wasaliti utafikiri huo uzalendo wewe umeusomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…