hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we baby wa chalinze utanivunja mbavu lol.
ndio maana nakupenda
unipe marejesho tu
Hata mimi kwakweli na sijawahi kusikia hizi team zina mechi wekeni mech tuone nani mkali kat ya team bazaz mara team rafiki wengine team uzinz dah balaaa tupuhivi ni mimi sielewi maan ya hizi team ama
twende tushuhudie hiyo mechi sieHata mimi kwakweli na sijawahi kusikia hizi team zina mechi wekeni mech tuone nani mkali kat ya team bazaz mara team rafiki wengine team uzinz dah balaaa tupu
hiyo siku hutakasirika tena nakwambia...utacheka siku zoteTatizo unanipenda kimaandishi, kwenye kujamiiana unaniblock. Yani hapo ndipo napokasirikaga kama Mugabe.
hiyo siku hutakasirika tena nakwambia...utacheka siku zote
Ngoja nianze mazoezi ya kegel
njoo nikueleweshe mamii!! usije ukapotelea kichakani bure! babu Asprin unamjua vizuri?
huyo babu namjua kuzidi hata mkewe
huyo babu namjua kuzidi hata mkewe
nimeona anakuuliza kuhusu kujamiiana!! ilikuwaje hapo?
heheee hayo ni mambo yetu ya chumbani
Kama kuna ambacho hajakijua kwangu, ni kaburi ntakalozikwa.
We ntakupa kucha zake ntakazomkata.
Kumiliki kadi mbili mbili
nadhani ni mtindo wa kisasa.
Nadhani ulishawaki sikia mtu mmoja hivi maarufu kule kenya, yeye
anamiliki kadi ya chama cha kaki na kadi ya chama cha kijani na hakuna
anaye muuliza.
Ambao hawako kwenye ndoa wanaweza wakawa marafiki au wapenzi, ni maamuzi
yao tu, ila walioko kwenye ndoa they are limited totaly to marriage
only.
Wameshatangaza? playground itakuwa wapi chamazi, jangwani au bunju stadiumtwende tushuhudie hiyo mechi sie