Hivi utakuwa na team ngapi?

inawezekana mna undugu hata wa mbali..maana hata miandiko yenu inafanana..na familia utokayo nae alikua familia hiyo hiyo
hapana sio mapacha kwani nimefanana naye?
Hata simjui kabisa huyo mtu rafiki. Labda nitajie
wasifu wake hapa ndani
 
ndio nimekumbuka mm ni mtoto wa shangazi yake
si yeye anaundugu na akina passionlady au siyo?


inawezekana mna undugu hata wa mbali..maana hata miandiko yenu inafanana..na familia utokayo nae alikua familia hiyo hiyo
 
basi rafiki ni dugu yangu
ila yeye ni ukoo mwingine
asante kwa kuniambia ndugu yangu
nitamtafuta asante sana
jamani kumbe sikujua mie


eee huyo huyo
we see her in you
 
Last edited by a moderator:
nahisi tumepisshana kidogo maelewano hapa
kwanini mnaleta hiyo TEAMbazazi hapa?
 
Last edited by a moderator:
teamrafiki ni team ambayo inajenga amani mshikamano
upendano zaidi, na kuhudumiana, hata kujaliana pia
inalenga uhuru wa mtu kufanya vile atakavyo ila kwa masharti
fuilani ya team hii, sijui mpaka hapo kama umenielewa vyema

Ha ha ha ha Lady niece.. Tatizo #mabazazi wamevamia kama nyuki hapa lol.. Hebu nieleweshe mie vizuri nikuelewe maana kusema ukweli sijaelewa na ninapenda kueleweshwa.. Na kama ninaweza kujiunga kwenye #teamrafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…