Hivi utajiri na maisha mazuri vinapatikana vipi?

1.Know how to make money
2.How to manage money
3.know how to invest money
Anzia ulipo bro namna gani unaweza kuibadilisha hamsini kuwa mia mbili fanya hivyo kwa siku, wiki, mwezi, mpaka mwaka uje na mrejesho
NB. Ndugu wasiwe kwenye ratiba zako za matumizi just assume upo wewe mwenyewe hapa duniani huna msaada utakaopewa wala husaidii watu. Karibu ujoin the winning team of upcoming billionaire...goodlucky bro.
Hii inaweza kufanya kazi ,japo hapo kwenye ndugu ni changamoto nyingine.
 
Sasa wewe Kunguru wa Manzese , mambo ya elimu utayaelewaje? Elimu ndiyo namba moja FYI

Elon Musk ndiye the richest guy on the Planet (300 USD). Tell me if he isn't uneducated.
Nchi yako ina educated wengi wanaishi kwenye hali za kimaskini hawana kazi za kueleweka

Sasa hapo elimu ina faida gani

Ukizungumzia matajiri wa nje wengi walikuwa collage dropout Kama kina Zuckerberg na wengineo
 
Hiyo dhana ya college dropout ndiyo inakupotosheni. Kuacha chuo haina maana ya kukataa elimu au kuacha kusoma.

Those guys simply refused what they didn’t want (or, better yet, what was a hindrance) in their education, and focused and concentrated all their energies and intelligences and efforts on what they liked the most. And it always pays.

You'll be the most ignorant individual to think that Mark Zuckerberg or Bill Gates or Steve Jobs were successful because they were UNEDUCATED!

With these poignant ideas unazoleta, I'm even beginning to doubt whether you are actually human.

DEDICATION SONG: ^Ikiwa unaona elimu ni ghali, basi jaribu ujinga^
 
Hua natafakari kila uchao kua hivi ilikuaje watu wakawa na magari mengi mfano malory, nyumba zaidi ya 1 uku wengi wakiwa hata mlo mmoja shida kwa siku.

Kwamba kuna vijikanuni? Je kanuni Zake zikoje?
1. Uganga
2. Wizi/Fisadi
3. Kwepa Kodi
4. Tapeli.
5. Fungua kanisa.
Kinyume na hapo utakuwa na life LA kawaida aka LA katikati.
 
Hiyo dhana ya college dropout ndiyo inakupotosheni. Kuacha chuo haina maana ya kukataa elimu au kuacha kusoma.

Those guys simply refused what they didn’t want in their education, and focused and concentrated all their energies and intelligences and efforts on what they liked the most. And it always pays.

You'll be the most ignorant individual to think that Mark Zuckerberg or Bill Gates or Steve Jobs were successful because they were UNEDUCATED!

With these poignant ideas unazoleta, I'm even beginning to doubt whether you are actually human.
100% Agreed ...
 
We mwenyewe kwa ubongo wako sidhani upo sawa kuna matajiri wengi tu hawajasoma mbona unapenda ubishi
 
Back
Top Bottom