Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
hommie Madame B ana mwenyewe , yule anayejiita mwanasheria uchwara ruttashobolwa :flypig:I LOVE Madame B FULLSPOT AND THATS ALL.
kwenye siasa ni wengi tu ninawachukia....
personally ni wengi tu nina hasira nao...
Madame B naye inaonekana amefika kwa mwansheria uchwara, hasikii haambiwi !!!Wewe mwanamahesabu fanya kweli muulize madame b kama ni nani kati yangu na yule bushlawyer mume wa madam? Usione aibu kumuuliza bhana.
I LOVE Madame B FULLSPOT AND THATS ALL.
Pole sana Mpendwa!
Bila shaka kuna haja ya kusamehe usiwe na roho ya namna hiyo jamani kwani maandiko hayataki hivyo.
I hate Arushaone fullstop.
mwite aje hapa aseme mwenyewe!
Mimi huwa namuignore mtu, maana nitampa faida sana kwa kutumia energy yangu kumchukia.
hahahaah!! Bado ugomvi unaendelea?I hate Arushaone fullstop.