Ukurisitu sio Dini ambao ni practical kwa asilimia kubwa ni idealistic haina solution ya moja kwa moja kwa changamoto za kila siku za Binaadamu iko kiroho zaidi it's like 'mythical beliefs' kuna masuala megi ya mechemsha mfano watumishi kama ma padiri kuto oa hilo liko ageneist human nature, kutota utaratibu wa urithi, Talaka, nkhabari za mchana huu wana JF,
mafundisho mengi tunahimizwa kuwa mwanaume anapaswa kuwa na mke mmoja, na kama akizidisha basi atakuwa ni mdhambi(ktk imani za kikirsto), swali langu hua najiuliza kama kweli ni dhambi mbona mitume na manabii waliokuwa na imani kubwa na waliopendwa zaidi na mungu kwa nini walikuwa na mke zaidi ya mmoja mfano ibrahim alivolala na mjakazi wake ili apate mtoto, piah kwa Suleiman ambae alimiliki zaidi ya wanawake 1000. lakini bado mungu aliwapenda manabii hawa, naombeni nieleweshwe kwa mwenye uelewa zaidi kuhusu hili?!!
karibuni kwa maoni yenu:-
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa mchango wako, lkn ningependa kujua zaidi kwa nn inakuwa hivi, maybe ni kutokana na maslah ya wachache ama kinachofundishwa sicho mitume walichokiandika ktk vitabu vyao!!?Ukurisitu sio Dini ambao ni practical kwa asilimia kubwa ni idealistic haina solution ya moja kwa moja kwa changamoto za kila siku za Binaadamu iko kiroho zaidi it's like 'mythical beliefs' kuna masuala megi ya mechemsha mfano watumishi kama ma padiri kuto oa hilo liko ageneist human nature, kutota utaratibu wa urithi, Talaka, nk
Sent using Jamii Forums mobile app
nikuelewa asanteh, ila la kuoa mke zaidi ya mmoja me naona si dhambi.Hao wanawake wao ndo waliluhusu kulala na vijakazi wao
Mfano lbrahimu na yakobo
Ata ivyo Mungu alikuwa na upendeleo fulani Huko mwanzo anajua mwenyewe kwa vigezo vyake huwenda walikua hawatendi maasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka katika Dunia hi watu na vikundi vya watu wanakua na personal interest katika Imani/ Dini wako tayari kufanya extra au inter pollute, kwa maslahi yao binafsi kwa hiyo uenda western capitalist walisha ona Christianity kama political na economic toal.......sasa wanaitegeneza kuendana na utamaduni na economic setup zao .....ila hilo ni opinion yangu tuasante kwa mchango wako, lkn ningependa kujua zaidi kwa nn inakuwa hivi, maybe ni kutokana na maslah ya wachache ama kinachofundishwa sicho mitume walichokiandika ktk vitabu vyao!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
hv inawezekana eeh!![emoji848][emoji848][emoji848]Kaka katika Dunia hi watu na vikundi vya watu wanakua na personal interest katika Imani/ Dini wako tayari kufanya extra au inter pollute, kwa maslahi yao binafsi kwa hiyo uenda western capitalist walisha ona Christianity kama political na economic toal.......sasa wanaitegeneza kuendana na utamaduni na economic setup zao .....ila hilo ni opinion yangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeanza kupata concept kabisa, asante kwa maoni yako.Ukristu ulifuata maisha ya Yesu, yeye hakuoa wala hakuzini. Alikuwa msafi na ndiyo maana kifo chake kilikuwa sadaka bora iliyompendeza Mwenyezi Mungu kwa msamaha wa dhambi zetu.
Kipindi cha Yesu, mitume na manabii walianza kuwa na mke mmoja mmoja. Kama Zakaria Baba wa Yohana mbatizaji. Ingawa hakuwa na mtoto lakini alimuamini Mungu. Na alijaliwa mtoto uzeeni.
Acha izo mambo mkuu, kwa mwanamke kuwa na wanaume wengi uyo ni umalaya. Embu tizama ata kwa wanyama, jogoo anaweza akawa ata na dike 6 ila kamwe hauto kuja kumuona kuku dike yuko na jogoo 6.... Ni hayo tuMambo ya dini ni magumu kuyatafsiri,kwa sababu walioleta hizo imani walikuwa na malengo yao.Ila jiulize,mkeo akiwa na wanaume wanne,we utajisikiaje? Jibu utakalopata ni sawa na mwanaume mmoja kuoa wake wanne n.k
Ukristu ulifuata maisha ya Yesu, yeye hakuoa wala hakuzini. Alikuwa msafi na ndiyo maana kifo chake kilikuwa sadaka bora iliyompendeza Mwenyezi Mungu kwa msamaha wa dhambi zetu.
Kipindi cha Yesu, mitume na manabii walianza kuwa na mke mmoja mmoja. Kama Zakaria Baba wa Yohana mbatizaji. Ingawa hakuwa na mtoto lakini alimuamini Mungu. Na alijaliwa mtoto uzeeni.
Agenda ya mapadre kutooa si ukristo. Na siyo fundisho LA kibiblia. Ni mapokeo ya kanisa katoliki. Ukipata Fungu linalokataza viongozi wa kanisa kuoa uje nikupe milioni moja.Ukurisitu sio Dini ambao ni practical kwa asilimia kubwa ni idealistic haina solution ya moja kwa moja kwa changamoto za kila siku za Binaadamu iko kiroho zaidi it's like 'mythical beliefs' kuna masuala megi ya mechemsha mfano watumishi kama ma padiri kuto oa hilo liko ageneist human nature, kutota utaratibu wa urithi, Talaka, nk
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa mchango wako, lkn ningependa kujua zaidi kwa nn inakuwa hivi, maybe ni kutokana na maslah ya wachache ama kinachofundishwa sicho mitume walichokiandika ktk vitabu vyao!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona kama sio uchochozi mtu anatafuta Wisdom katika hilo leta hoja sio vitisho usiogope challenges na counter challenge tunajifunza wengine humu.Usilete uchochezi wa kidini, wewe kama unaamua kuoa wake wengi fanya hivyo usishirikishe wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
nikuelewa asanteh, ila la kuoa mke zaidi ya mmoja me naona si dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika ukristo utamaduni wa wazungu wa kimagharibi umeingizwa mno. Ambao sio maagizo ya Mungu kwa mtazamo wangu kama hapo kwenye idadi ya wake.Hao wanawake wao ndo waliluhusu kulala na vijakazi wao