Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,790
Kuna package ya vacation..misosi inakuwamo humo
yaani mimi hii Qnet naisikia tu na sijawahi kujua kuwa inaoperate vipi. Yaani wanawakamataje hawa jamaa waliolizwaWale Alliance in Motion nilifahamu ni ya kuuza supplements, na nilikaribishwa kwenye matangazo yao lakini sikujiunga tu kifupi niliawaambia sintakuwa na muda wa kusupply hizo supplement wala kutafuta member wengine mama mmoja akanisumbua kidogo nikampotezea
Sasa hawa QNET wao wanauza nini? Hao wateja wanawapaje hizo hela, mfano hiyo hela ya msosi M5 wanaitoaje?


wengi zaidi ndo unvyozidi kunufaika! ... yaani nikinunua mali ya shillingi million tano, japo bei halisi ni elfu hamsini, na nikawashawishi wengine kibao, basi naweza kupata hata million mia moja ... na hawakunyimi!