kid ink tz JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 307 Reaction score 320 Feb 11, 2020 #1 Hivi ushawahi kusikia any weird or scary story about a place or thing?? Please share. Me nilisikia kuna daraja Arusha misikule huwa inakaa kule chini husababisha ajali ili ipate Damu....
Hivi ushawahi kusikia any weird or scary story about a place or thing?? Please share. Me nilisikia kuna daraja Arusha misikule huwa inakaa kule chini husababisha ajali ili ipate Damu....
L long leg ajusshi Member Joined Dec 5, 2016 Posts 11 Reaction score 4 Feb 11, 2020 #2 Duh Sent using Jamii Forums mobile app
Queenever1 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 422 Reaction score 818 Feb 11, 2020 #3 Mi nikiskia makaburini usiku kuna wachawi wanafanya mambo yao na kwenye mibuyu
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,546 Reaction score 5,219 Feb 11, 2020 #4 Niliskia Dar Es Salaam kunanukaa....
Pisi kali JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,235 Reaction score 2,546 Feb 11, 2020 #5 M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza
M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,628 Reaction score 8,149 Feb 11, 2020 #6 Pisi kali said: M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza Click to expand... Njombe hawajambo? Sent using Jamii Forums mobile app
Pisi kali said: M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza Click to expand... Njombe hawajambo? Sent using Jamii Forums mobile app
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,951 Feb 11, 2020 #7 Nilisikia hapo Morogoro, hapo Iringa road kuna majini na mapepo yanayosababisha ajali kila baada ya wiki 2 au ndani ya mwezi tu ajali lazima itokee! Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia hapo Morogoro, hapo Iringa road kuna majini na mapepo yanayosababisha ajali kila baada ya wiki 2 au ndani ya mwezi tu ajali lazima itokee! Sent using Jamii Forums mobile app
Pisi kali JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,235 Reaction score 2,546 Feb 11, 2020 #8 Swet-R said: Njombe hawajambo? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sijui