Kuna kasumba fulani sio ya kiustaarabu, eti mtu akikosea namba ya simu akapiga kwa wrong number ni lazima umtukane?
Utasikia mshenzi mkubwa ukome kupiga namba za watu hovyo hovyo, kana kwamba amekupigia makusudi kumbe kakosea kwa bahati mbaya.
Jamani tuache huu upuuzi kwani unaweza kumtukana mkweo bila kujijua, acheni hizi tabia za kipuuzi.