Hivi ukawa wako serious?

Hivi ukawa wako serious?

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
355
Reaction score
178
Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?
 
Acha watangulie, tutafuta nyayo zao zote!
Umesahau hata kuchukua fomu alianza magufuli na wakajisifu na idadi ya watu, do you remember what happened alipochukua Lowassa?
 
Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?

jipange kusikilizia mziki wake kuanzia jumamosi hii pale jangwan baada ya hapo ni mtiti kumbuka UKAWA ni watu wenye mikakati mahususi si kama zile kampeni za mazoea. utafurahi tu.
 
Strategy yao sio mbaya DSM kuna population kubwa na wapiga kura wengi lakini ni mahali ambapo kuna muamko na uelewa mkubwa kisiasa. Ni vyema kupiga vizuri eneo hilo na wakawa wanaconcentrate na maeneo mengi kama hayo kuliko kuzunguka tuu mradi ionekane wamezunguka. Hebu tuwape muda hadi huu mwisho wa mwezi tuwaone mwanzo wa mwezi wataamshaje.
 
Si wabunge mpaka madiwani wanategemea lowassa kushinda, sijui itakuwaje
 
Uzuri ni kuwa tayari jina la LOWASSA tayari liko mioyoni mwa watanzania wengi pamoja na kuwa wengine hawajui kuwa kahamia UKAWA. Kwa hiyo staili yetu ya kampeni itakuwa ya kisayansi zaidi.
 
Ukawa wanafanya maiigizo. Majimbo yako zaidi 260 na mda wa siku 64 ni mdogo.irani ya ukawa ispo eleweka kwa wapiga kura watajilaumu.

wenzake sasa wanakwenda mpaka ndani vijijini,yeye bado anazuga mjini..
mjini kila mtu ana uamzi wake tayari,wanaohitaji ushawishi ni vijijini,sio masela wa mjini,,,,,
 
Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?
Usiogope kiongozi, magufuri anakimbia kimbia tu,kuanzia jumamosi hadi mwisho ni mwendo mdundo tu,leo mzee anaongea na vijana wa Dar es salaam na kesho ataongea na Akina mama wa Dar es salaam
 
Strategy yao sio mbaya DSM kuna population kubwa na wapiga kura wengi lakini ni mahali ambapo kuna muamko na uelewa mkubwa kisiasa. Ni vyema kupiga vizuri eneo hilo na wakawa wanaconcentrate na maeneo mengi kama hayo kuliko kuzunguka tuu mradi ionekane wamezunguka. Hebu tuwape muda hadi huu mwisho wa mwezi tuwaone mwanzo wa mwezi wataamshaje.

Mkuu wewe utakuwa mtoto wa mjini ukifikiri kuwa Tanzania ni DSM
Mmeonywa tayari bado mnabisha. Kama DSM na miji ingekuwa muhimu si ina maana wataongeza viti? Nakwambia kwa kukosa mipango na mikakati na kubaki kujishughulisha na kampeni za Lowassa wataambulia majimbo machache hata mjini. Mark my words!
Dr Slaa alifanya kazi kubwa kujaribu kujenga matawi na mashina lakini yote yako neglected sasa hivi. Huko vijijini hawana mwelekeo viongozi wenu. It's a disaster!
 
Hamna kitu ukawa mgombea mwenyewe yuko kama zombie anazurura tu sokoni wala aongei
 
Mkuu wewe utakuwa mtoto wa mjini ukifikiri kuwa Tanzania ni DSM
Mmeonywa tayari bado mnabisha. Kama DSM na miji ingekuwa muhimu si ina maana wataongeza viti? Nakwambia kwa kukosa mipango na mikakati na kubaki kujishughulisha na kampeni za Lowassa wataambulia majimbo machache hata mjini. Mark my words!
Dr Slaa alifanya kazi kubwa kujaribu kujenga matawi na mashina lakini yote yako neglected sasa hivi. Huko vijijini hawana mwelekeo viongozi wenu. It's a disaster!

Mkuu mimi sio wa mjini na hata ninapofanyia kazi ni maeneo ya Bush mno ila twende mbele na turudi nyuma mikoa hii ya DSM, MWANZA, (kanda ya ziwa) MBEYA, kanda ya KASKAZINI (ARUSHA, KLM, MANYARA) ni mikoa inayohitaji concentration ya kutosha sio ya kukatiza juu juu
 
Usijali ndugu tumewatanguliza malodilofa sisi wapumbavu na malofa tutaanzia Jangwani kisha chopa kila kijiji.Hatuna pressure.Magufuli anasema ameamua kutembea na gari (mashangingi) eti kukagua maendeleo.Walikuwa wapi siku zote kukagua maendeleo?
 
Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?

Si ndio vizuri kwenu CCM au? mbona mnalia??
 
Back
Top Bottom