Hivi tutorial gan nitatumia kucode web kwa kutumia Html na Css

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Ningependa kujua hv tutoria ipi ambayo nitaweza kudesgin web kwa html na css au unalipia kwanza wordpress ndio unadondosha code?.
please kama haufahama sivyema ukaleta maneno ya kejeli!
 
Ningependa kujua hv tutoria ipi ambayo nitaweza kudesgin web kwa html na css au unalipia kwanza wordpress ndio unadondosha code?.
please kama haufahama sivyema ukaleta maneno ya kejeli!
1. Wordpress ni bure kabisa na hauhitaji knowledge yoyote ya code unatengeneza website vizuri tu. Sema ukitaka kufanya kitu chochote advanced kwenye hii WP utahitaji kuwa na knowledge ya PHP/HTML/CSS hivyo kama unataka kujifunza sio mbaya

2. Wadau wametaja huko juu w3schools na udemy nenda huko almost kila kitu kipo. W3schools ni nzuri kwa kuanzia maana wao ndio wawekaji standards ni vyema kujifunza officials kwanza kabla ya kujua tricks za mitaani.

3. Utahitaji WYSIWYG (what you see is what you get) software, hii inakusaidia ukiwa unacode unaona kabisa mtumiaji wa mwisho ataona nini. Za HTML zipo nyingi hio dreamwaver, Komposer, Microsoft web tool etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…