Tanzania ni nchi nzuri ambayo viongozi wake wamekazania kuiharibu kwa makusudi. Tufunge na kuomba hawa watu wanotuharibia nchi yetu watahayari na kutuachia nchi yetu bila kutuachia matatizo makubwa ambayo yanaendelea kujijenga kila siku. Hawa watu hawana huruma na hawana aibu wala soni kama mfalme majuju. Tutafanyaje jamaniii?
Nchi yoyote ambayo viongozi wenye dhamana ya kuhakikisha sheria zilizopo zinafanya kazi, wanakuwa wa kwanza kuzivunja, basi hakuna sheria itakayofanya kazi. Tunayoyaona kama ugawaji wa viwanja holela, wizi katika mabenk, mauaji ya hovyo, ni kwa vile viongozi wetu na walinzi wetu wa amani ndiyo wanaoongoza mauaji, wanachukua viwanja hovyo. Kuna mheshimiwa pamoja na kujiuzulu wadhifa wa uwaziri, amepewa eneo la Magereza Morogoro anajenga kitu chake. Nafuu hata aliyeteka eneo la wazi la pwani yetu.
Tumwombe Mungu atusaidie kuwaadhibu hawa jamaa maana sisi wametushinda. Hatuwezi kugoma, hatuwezi kuandamana na wala kuwapiga. BASI TUTUMIE IBADA NA MAOMBI KWA DINI ZOTE
You can say better than this keep on trying.Tukiomba Mungu ukumbuke na Mchungaji Slaa nae ataadhibiwa kwa kumzini mke wa mwenzake, bora tubaki tu hivihivi !
May be, Tumuombee Prof Lipumba aongoze nchi hii, huyu anaonekana msafi na ni mtaalam, tuachane na mafisadi wengine
you dont deserve to be a senior expert member, am surprised even those who cant think are senior expert members.Tukiomba Mungu ukumbuke na Mchungaji Slaa nae ataadhibiwa kwa kumzini mke wa mwenzake, bora tubaki tu hivihivi !
May be, Tumuombee Prof Lipumba aongoze nchi hii, huyu anaonekana msafi na ni mtaalam, tuachane na mafisadi wengine
Usafi gani bwana, mbona wote tuna vinyesi tumbon. Ebo.Tukiomba Mungu ukumbuke na Mchungaji Slaa nae ataadhibiwa kwa kumzini mke wa mwenzake, bora tubaki tu hivihivi !
May be, Tumuombee Prof Lipumba aongoze nchi hii, huyu anaonekana msafi na ni mtaalam, tuachane na mafisadi wengine
Tanzania ni nchi nzuri ambayo viongozi wake wamekazania kuiharibu kwa makusudi. Tufunge na kuomba hawa watu wanotuharibia nchi yetu watahayari na kutuachia nchi yetu bila kutuachia matatizo makubwa ambayo yanaendelea kujijenga kila siku. Hawa watu hawana huruma na hawana aibu wala soni kama mfalme majuju. Tutafanyaje jamaniii?
Nchi yoyote ambayo viongozi wenye dhamana ya kuhakikisha sheria zilizopo zinafanya kazi, wanakuwa wa kwanza kuzivunja, basi hakuna sheria itakayofanya kazi. Tunayoyaona kama ugawaji wa viwanja holela, wizi katika mabenk, mauaji ya hovyo, ni kwa vile viongozi wetu na walinzi wetu wa amani ndiyo wanaoongoza mauaji, wanachukua viwanja hovyo. Kuna mheshimiwa pamoja na kujiuzulu wadhifa wa uwaziri, amepewa eneo la Magereza Morogoro anajenga kitu chake. Nafuu hata aliyeteka eneo la wazi la pwani yetu.
Tumwombe Mungu atusaidie kuwaadhibu hawa jamaa maana sisi wametushinda. Hatuwezi kugoma, hatuwezi kuandamana na wala kuwapiga. BASI TUTUMIE IBADA NA MAOMBI KWA DINI ZOTE
Ibada ni sawa lakini tunapashwa kufanya zaidi ya hayo. mungu usaidia wale wanaojisaidia. Mtu hawezi kukuibia akatumia utajiri huo kujenga mahekalu na kununua mashangingi wewe ukaendelea kushangilia tu ukiamini Mungu atakusaidia; angalau na wewe changia kwa kumzomea mwizi huyo popote apitapo, ataona haya. Nakumbuka BWM alikwishaanza kuogopa kukatiza mitaani.Hiyo ndiyo dawa