freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Nani mchawi...ni mwaka sasa tangu nimalize chuo, nimeitwa kwenye interview nyingi ila sijabahatika kuchaguliwa. Sasa watu wengine wananishauri niende kwa mganga. Hivi sangoma anaweza fanya chochote?
Nishaurini
Nishaurini