Neno api silijui mkuu, unaweza kunifafanulia?
Mkuu API ni short form ya application programming interface, hizi ni tools ambazo zinakuwezesha kucommunicate na application/system zingine. Mfano tuseme jamii forum ingekuwa an api, hii inamaana mtu akitengeneza application, anaweza akatumia api ya jamii forum, kufetch data mbalimbali. eg ni jukwaa gani linakuwa na wachangiaji wengi kuliko lingine, au ni muda gani mada nyingi ndo huwa zinaanzishwa n.k
Unaweza kucheki hii video, ambayo inatumia a good analogy kuelezea kuhusu APIs.

Zingikuwa hazina wangewezaje kufanya integration na mobile money, TRA etc? Wanazo lakini siyo open, ni closed kwa maana wanashare na trusted patners tu. Binafsi nimeshafanya project mbili ambazo nime integrate na bank, NMB na CRDB. Lakini hata hizo zingine nyingi zina API
kaka natamani kuwasiliana na weweZingikuwa hazina wangewezaje kufanya integration na mobile money, TRA etc? Wanazo lakini siyo open, ni closed kwa maana wanashare na trusted patners tu. Binafsi nimeshafanya project mbili ambazo nime integrate na bank, NMB na CRDB. Lakini hata hizo zingine nyingi zina API
kakakaka natamani kuwasiliana na wewe
kaka... unajua inatakowa organization kam zile zinatakiwa kuwa na API kwa ajil ya testing ambazo ziwe open kwetu sisi... then ikiwa poa ndo watupe full access... lakin Tz utatafuta requst ya hizo mambo miaka tisa yan hadi idea inapoteaKwahiyo basically unahitaji kuwa some big name company ili wakupe access to the APIs. What about kama ni an individual au a small firm, wanaweza wakakupa access to those APIs, hata through vetting, au ndo mtu asahau kuhusu hilo.
Mind me asking huwa hizo projects ulizofanya zilikuwa zinahusu nini?