nginda JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 744 Reaction score 82 Jan 24, 2012 #21 Tunajivunia wananchi waoga kudai haki na badala yake kuiita amani.
M Mzee wetu Member Joined Jul 31, 2011 Posts 6 Reaction score 2 Jan 24, 2012 #22 Kiuwa na viongozi wanaojua kwa dhati matatizo ya watu wake, lakini wanashindwa kuyatekeleza kwa makusudi kabisa na kujali maslahi yao binafsi.
Kiuwa na viongozi wanaojua kwa dhati matatizo ya watu wake, lakini wanashindwa kuyatekeleza kwa makusudi kabisa na kujali maslahi yao binafsi.
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Jan 24, 2012 #24 Umaskini wetu wa kuchangiwa bajet mpaka kupewa sharti la kukubali haki za mashoga.
Habdavi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,172 Reaction score 1,709 Jan 24, 2012 #25 Najivunia Jf nimeweza kujua yanayotukwamisha safari ya kuondoa umaskini wa watanzania kiujumla, lakini nasikitika dk bado hajui?!
Najivunia Jf nimeweza kujua yanayotukwamisha safari ya kuondoa umaskini wa watanzania kiujumla, lakini nasikitika dk bado hajui?!
Mbogo Junior JF-Expert Member Joined Jan 21, 2012 Posts 257 Reaction score 72 Jan 24, 2012 #26 Tunajivunia bunge la rubber stamp.
Thinker96 JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 349 Reaction score 138 Jan 24, 2012 #27 me najivunia kuwepo na fikra za amani,upendo na uhuru wa kina Saed Kubenea,Jenerali Ulimwengu,na wengine wenye midomo kulopoka wanayojisikia,na wenye vidole waliopo jf na kwingineko kuandika wanalotaka,
me najivunia kuwepo na fikra za amani,upendo na uhuru wa kina Saed Kubenea,Jenerali Ulimwengu,na wengine wenye midomo kulopoka wanayojisikia,na wenye vidole waliopo jf na kwingineko kuandika wanalotaka,