Hivi Tanzania tunajivunia nin?

J55

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
44
Reaction score
75
Hivi ukiulizwa Tanzania inajivunia ki2 gani [kitu kimoja tu] ambacho kimeleta manufaa kwa kwa maslahi ya wananchi wa Tanzania ambacho nchi inaweza kusimama na kusema 2najivunia ki2 fulan ?? Mfano wenzetu kenya na ethiopia wamejikita katika usafiri wa anga...wana uwezo wa kusema wanajivunia na kujulikana dunia nzima katika usafirishaji wa anga
 
twin tower bot
Mkuu pamoja na hilo,mengine tunayojivunia ni haya.
1.EPA.
2.KAGODA.
3.RICHMOND.
4.IPTL.

Endeleeni kudadavua members............................................................!
 
Mkuu pamoja na hilo,mengine tunayojivunia ni haya.
1.EPA.
2.KAGODA.
3.RICHMOND.
4.IPTL.

Endeleeni kudadavua members............................................................![/QU
 
...Kuwa na Rais handsome kuliko Marais wote duniani.
 
Tunajivunia CHIPS MAYAI,hii ni bidhaa yetu maskini kwa matajiri,na inapatika kwa wingi nchini.
 
Mawe ya Mwanza, Mbuga kule arusha, Haven of peace, kigamboni mjimpya....
 
Nipo full screen edit dakika zaidi ya thelathini jibu sijalipata hadi sasa. Nakupa mji - darisalame.
 
Ama kweli kuku mgeni..huku siko...........!!!!??? Hii mada ina penyewe, jamani wenyeji vipi..............ebo!!!
 
Kuwa na viongozi wachumia tumbo halafu vilaza.
 
kweli nchi nyingi duniani huwa zinapenda kujipambanua kwa yale yaliyofanywa na binadamu badala ya kazi ya Mungu kama Kilimanjaro.
Lakini mbali na hilo, tunajivunia kuwa na Baraza kubwa la Mawaziri
Bajeti kubwa kwenye Matumizi badala ya Maendeleo
Soon tutakuwa na daraja la kigamboni kama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…