mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Juzi juzi nikaona kwenye habari TBA wanajenga jengo lao kwa mkopo kutoka World bank kama sikosei, na ghalama iliyotajwa ni billion chache tu,Nikajiuliza hadi ofisi tu mkopo Worldbank??
Swali ambalo linaweza lisieleweke kwa wengi, Hivi Tanzania Tunahitaji TSH ngapi iti tusikope tena wala kupewa misaada hadi kwenye vitu vya kawaida?
Nikiangalia Budget zetu, Naona ni ndogo kuliko mahitaji na bado hazitoshi.
Hivi Tanzania Tunahitaji TSH ngapi ili Tusikope tena, Tusiombe misaada ovyo, Tulipe deni letu lote na Tutosheleze mahitaji yetu?