The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,078
Nchi ya ahadi.Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.
Akizikwa ulaya wajukuu watapata wapi nauli ya kwenda kutambika makaburini?Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.
Duuuh hii kaliKama dunia ingekuwa mwili wa binadamu basi Tanzania ingekuwa matako au Makalio kabisa yaani ni sehemu ya kutolea uchafu sugu wa mwilini
mkuu mungu anakuonaKama dunia ingekuwa mwili wa binadamu basi Tanzania ingekuwa matako au Makalio kabisa yaani ni sehemu ya kutolea uchafu sugu wa mwilini
Aisee kuna ukweli flaniKama dunia ingekuwa mwili wa binadamu basi Tanzania ingekuwa matako au Makalio kabisa yaani ni sehemu ya kutolea uchafu sugu wa mwilini
Wajukuu wa Balali sijui itakuwaje mbeleni[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Akizikwa ulaya wajukuu watapata wapi nauli ya kwenda kutambika makaburini?
Akifa Bilali tutamrudisha Iringa . Saa hizi anazuga kufaWajukuu wa Balali sijui itakuwaje mbeleni[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]
Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.
Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.
Nimeandika reply ya huu uzi ila nimeifuta. Fikiria ni kwa nini?Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.
Nimeandika reply ya huu uzi ila nimeifuta. Fikiria ni kwa nini?
We nani kakwambia Balal kafa mkuu? Yupo anakula upepo wa baridi unaochujwa,we kula makande ulale tuMbona balali hajazikwa tz