Mchukuu wa Mangi
Member
- Sep 21, 2013
- 27
- 23
By critical thinkers you meant waandishi wa habari???!!!
Kama critical thinkin ndio hii ya kuanza na premise tofauti na conclusion na katikati ushaweka personal attack badala ya argument chronology then na wewe ni good in probing but yet a critical thinker!!!!
Wapo wengi tu mfano CHADEMA wote ni CRITICAL THINKERS
napita tuu wanandugu
Mtu kuwa kichaa sio lazima mpaka aokote makopo!.Rubbish, pure unadulterated rubbish.
You don't get any better niggler. All we ever see from you is this half baked mystical twaddle. Why don't you actually stop and analyse the stuff you write before you post it?
Critical thinkers wapo na critical threads zipo kibao tuu ila kwa vile na mleta mada ni unidirectional, na myopic, vision yake inaona upande mmoja tuu kama hizo picha kwenye bandiko lake.
Kama ni kweli uko genuine huwajui, tunaweza kukusaidia na kukuelekeza kwenye thread na threads za critical issues!.
Pasco.
Naunga mkono hojaPaskali hizi makala bora ukaachana nazo kwani unaji-expose kama uwezo wa kufanya critical analysis hauna kabisa.
Wew ni revolutionary citizen, Sina la kuongeza zaidi ya, ulindwe maan ni Hazina ya Taifa letyu
Nashangaa sana kuona mijadala ya Economic integration , Rwanda, Infrastructure na development projects imejaa ushabiki wa kisiasa bila kuangalia mambo kwa upembenuzi yakinifu.
Na kinachosikitisha ni jinsi gani Print media na bila kusahau GREAT THINKERS forum kama hii kujaa watu ambao ni washabiki kuliko watu ambao wanauliza maswali au kuwa critical.
Inawezekana vipi mchambuzi anayeaminiwa JF na ambaye haishi kuandika articles kwenye print media (MANYERERE JACKTON) ashindwe kutofautisha kati ya Newspaper na Magazine?
Mbaya zaidi ameshindwa kuweka counter arguments kwa hilo gazeti la THE EAST AFRICAN.
Kuna issues za UNGA ambazo zina dominate airwaves lakini hakuna INVESTIGATIVE JOURNALISM iliyofanyika zaidi ya kutaja majina ya watu bila ushahidi wowote ku back up hizo tuhuma (ikienda mahakamani hawa watu wataomba mistrial kwani tayari media ishawahukumu)
CRITICAL THINKERS wetu hawaulizi tuna reserve ngapi ya foreign exchange, deni la taifa ni kiasi gani na tuna reserve ngapi ya gold na ziko wapi na nchi zipi.
CRITICAL THINKERS wetu wako bize na siasa za maji taka kuangalia nani alikuwa na washabiki wengi kwenye mikutano ya hadhara ya siasa huko Pemba na kwingineko
CRITICAL THINKERS wetu hawaulizi tume zilizoundwa toka mwaka huu uanze ni ngapi na ripoti zao ziko wapi na nini zimefanya (jengo la NHC, mabomu ya arusha , gongo la mboto etc)
CRITICAL THINKERS wetu wako bize kutoa tuhuma kuwa Kagame kamtukana JK bila kuleta ushahidi wowote ambao ni credible...matokeo yake imekuwa kama kesi ya abunuwasi....
CRITICAL THINERS wetu hawaulizi kama its really worth kupoteza maisha ya Mtanzania kule Congo ambako jeshi letu lilipelekwa bila ridhaa ya bunge
CRITICAL THINKERS wetu wamelala tuuu na wako humu wanajadiliana kuhusu non issues wakati mikakati ishamalizwa ya kuiuza TANESCO kwa SYMBION POWER
CRITICAL THINKERS wetu hawataki kujadili mambo critically bali wako emotional ku defend the mediocrity at all levels za jamii yetu.
CRITICAL THINKERS wetu hawataki kujiuliza how hard is it ku fix traffic lights za barabara za mji kama Dar na traffic officers wakawa na kazi ya kufanya enforcement.
CRITICAL THINKERS wetu wameshindwa kujua kama CCM na CHADEMA/CUF etc ni same thing, akili zao ni sawa na wote hawana interest na Tanzania.
CRITICAL THINKERS wetu hawawezi kutofautosha NATIONAL INTEREST na PERSONAL PARTY POLITICAL INTERESTS