E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Mar 20, 2011 #1 wanaJF nauliza nipate kujuwa kama spika wa bunge la sasa bi Anne makinda kama amepewa ulinzi,kwani ktk picha hii hapa chini namwona mwana mama amejiimalisha vyema ktk style y aulinzi vile
wanaJF nauliza nipate kujuwa kama spika wa bunge la sasa bi Anne makinda kama amepewa ulinzi,kwani ktk picha hii hapa chini namwona mwana mama amejiimalisha vyema ktk style y aulinzi vile
T Technology JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 769 Reaction score 284 Mar 20, 2011 #2 ulitaka ulindwe wewe??? nyie watu wengine sijui hamna kazi za kufanya. sasa ajabu nini?
K Keykey JF-Expert Member Joined Dec 1, 2006 Posts 3,251 Reaction score 751 Mar 20, 2011 #3 Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake.
Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake.
B Byendangwero JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 871 Reaction score 56 Mar 20, 2011 #4 Hii siyo dalili nzuri; ukiona "executive branch" wanamwendekeza hivyo ujue tayari yuko mfukoni kwao. Nasikia hata msafara wake umeongezewa magari.
Hii siyo dalili nzuri; ukiona "executive branch" wanamwendekeza hivyo ujue tayari yuko mfukoni kwao. Nasikia hata msafara wake umeongezewa magari.
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,286 Reaction score 9,051 Mar 20, 2011 #5 Spika ni mkubwa kuliko waziri mkuu!
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Mar 20, 2011 #6 Alindwe asilindwe kawaida tu.........................................
Arafat JF-Expert Member Joined Nov 17, 2009 Posts 2,581 Reaction score 768 Mar 21, 2011 #7 Neno moja la kujadili hapo "Kama Rais" umeona wapi akilindwa kama Rais? lete ushahidi tuujadili
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,434 Mar 21, 2011 #8 Kakalende said: Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake. Click to expand... Asante kwa kutufungua macho kumbe Pm ni kidampa mbele ya speaker!
Kakalende said: Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake. Click to expand... Asante kwa kutufungua macho kumbe Pm ni kidampa mbele ya speaker!