Hivi siwezi kupata ufadhili kweli ? Hapo Tanzania nisaidie hata baadhi ya mashirika ya dini

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Nimeapply Chuo cha mweka kwenda kusoma wildlife management certificate but natoka familia masikini nisaidieni mashirika yanayofadhili maana karo tu ni million kwa mwaka mmoja
 
Hali ni ngumu kwa mtu binafsi na Taasisi.. Hujawahi kusikia kampuni zinashindwa kulipa mishahara...?
Shida nyingine waliosoma hawana ajira.
 
Back
Top Bottom