johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Naona leo watu wamechinj na kula sikkuu na kesho tena
Naomba ufafanuzi wakuu THE BIG SHOW na Malaria 2
Naomba ufafanuzi wakuu THE BIG SHOW na Malaria 2
Kwahiyo waislamu wako aina 2? 🐼Wa Leo wanajiita waswali Suni na kesho ndio sijui ya bakwataa ...kazi kwel kweli
Ndio mkuu ,Kuna dogo nafanyane kazi n mswali Suni ndio kanielekeza hvyo ,hvyo yy ckuku yake Leo na hajatokea jobKwahiyo waislamu wako aina 2? 🐼
Umepata nyama?Naona leo watu wamechinj na kula sikkuu na kesho tena
Naomba ufafanuzi wakuu THE BIG SHOW na Malaria 2