davetz28
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 543
- 617
Kichwa kinajieleza labda wahusika wa makampuni ya simu wapo humo watuambie.
Hivi karibuni kampuni kadhaa ikiwemo kampuni ya simu ya Tigo wameongeza bei za vifurushi vya internet.
Changamoto hiyo ipo kwenye muda wa kutumia bundle hizo. Kwanza bundle zinaisha haraka sana, nawauliza tatizo nini. Wengine wanahama lakini kwangu kampuni ya Tigo ndiyo yenye mtandao wenye kasi kuliko hao wengine, naomba waangalie upya bei zao na namna wanavyoset matumizi ya bundle zao kwani simu sio anasa ni huduma muhimu kwa kila mtu.