mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,399
- 3,927
- Thread starter
- #41
Si ni kweli mkuu… wenye pesa halafu asiwe na mtoto sijawah kuonaa
Ikiwa huyo singo mama ni mjane mume wake kafa nipo tayari kumuoa, ila kama mwanaume aliezaa nae yupo hai huo ni mgogoro siwezi kujiingiza maana mi napenda amani, kitu nachokilinda sana ni amani ya moyo wangu, maana mi najijua tatizo dogo tu linaninyima usingizi Je suala la amani ya maisha yangu litakuaje? Si ntagongwa na gari barabarani kwa mawazonyie hamjionii sasa kama huwezi oa single mother ila wewe na mtoto wako unataka mwanamke kigolii huoni kuwa ni ubinafsi
Mimi hapa nipo sina mtoto
Sisi tunapima thamani ya mwanamke kwa kuangalia her past
Kwenye mahusiano tukiona mwanamke ana mtoto akili inatuambia kachezea sana miti. Hivyo thamani yake inashuka
Kweli aisee umeotea vizuri kabisa pesa sina 😄Hutakuwa huna hela.. navojua ukiwa na hela wadada watakunyapia mradi tu akupeleke ustawi wa jamii
Wapo kibao...umeambiwa hapo juu badilisha cycle...Kwani wanaume wasio na watoto hawapo… Kama wapo mbona siwapatiii
Ni mara chache sana kuwa hivyounakuta na alionja mara moja tu na mimba juu
Niko apa bdo am looking for huyo binti wa kuzaa nae...... Sema sku hz mabint mnazngua mnasingzia mno watoto aani ata selewi niende tuu upadrii nkatimize ndoto
Niko apa bdo am looking for huyo binti wa kuzaa nae...... Sema sku hz mabint mnazngua mnasingzia mno watoto aani ata selewi niende tuu upadrii nkatimize ndoto
Mamdogo vipi kama huyo mtoto ilikuwa ni ajali kazini ambayo haikudhamiriwa.Nishamingo na mmoja anamficha mtoto kama nyonyo
Tena alikuwa na mtoto akakataa mimba ya bidadaa nilipata story ikabidi nimuachee
Ikiwa huyo singo mama ni mjane mume wake kafa nipo tayari kumuoa, ila kama mwanaume aliezaa nae yupo hai huo ni mgogoro siwezi kujiingiza maana mi napenda amani, kitu nachokilinda sana ni amani ya moyo wangu, maana mi najijua tatizo dogo tu linaninyima usingizi Je suala la amani ya maisha yangu litakuaje? Si ntagongwa na gari barabarani kwa mawazo
Kweli aisee umeotea vizuri kabisa pesa sina
Mimi nna watoto tena twins kabisa Ila ukonicheck huwezi jua km nina watoto MUNGU fundi Mwanaume alimuumba wa tofauti sana anatembea na kengele kila sehemu Ila hazitoi sautiNyie ni wabinafsiiii
Mungu anatuepusha na shari pindi tunapomuomba atuepushe na shariMungu hufupa kwa kukufaa so jiandae kwa lolote
Wapo kibao...umeambiwa hapo juu badilisha cycle...
Wapo kibao...umeambiwa hapo juu badilisha cycle...
Ni mara chache sana kuwa hivyo
Wewe ndo utanisaidia hili Kuna mama mmja aliolewa na jamaa mmja wakapata watoto sita... Lakin baadae wale wazaz wao kufariki wale watoto wakasema mmja wao sio wa kwao...... Na kipnd huyo mama anaolewa hakuwa na mtoto!! Na mtoto wanaemtoà sio wakwao ni first born, walipoulizwa wakadai kuwa kabla ya mama yao kufariki ndo aliwaambia hivoUnatakiwa uwe na akili sana… hautosingiziwa
Hivi si kuna ultrasound inaonesha mpk siku mimba imetungwa mnaibiwajee nyie acheni udhembe
Sio ubinafsi , ameongea sahihiDaah mna dhambi nyieee… wabinafsiii eeh