Denis denny JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 5,780 Reaction score 7,854 Mar 25, 2017 #21 matamauruke said: Siku zake zinahesabika wazee wa kazi wanamlia timing na nzuri zaidi wamesha mseti na yeye ameisha ingia kichwa kichwa hachomoki ni swala la muda tu. Click to expand... Jaribu kujiuliza kila siku Gwajima ni nani? Hakuna kiongozi wa dini ana wapelelezi na mashushushu kama Gwajima unapopanga kitu yeye tayari alishatonywa mapema
matamauruke said: Siku zake zinahesabika wazee wa kazi wanamlia timing na nzuri zaidi wamesha mseti na yeye ameisha ingia kichwa kichwa hachomoki ni swala la muda tu. Click to expand... Jaribu kujiuliza kila siku Gwajima ni nani? Hakuna kiongozi wa dini ana wapelelezi na mashushushu kama Gwajima unapopanga kitu yeye tayari alishatonywa mapema
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,147 Mar 25, 2017 #22 Ipo siku aina hizi za uchochezi utakuja kutugeuzia amani na kuwa vita kwenye nchi hii.UPINZANI TUJITAFAKARI KWENYE HILI.
Ipo siku aina hizi za uchochezi utakuja kutugeuzia amani na kuwa vita kwenye nchi hii.UPINZANI TUJITAFAKARI KWENYE HILI.