Hivi serikali imekusudia tuangamie?

KIRANGWA

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
208
Points
195

KIRANGWA

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
208 195
HAPA SITAKI VYA PM WALA NAMBA NATAKA NIGUSE MASLAHI YA VIGOGO!Ndg zangu ktk Jf wote mmekuwa mkisikia juu ya mbolea ya MINJINGU.
Kitaalam hakuna mbolea iitwayo Minjingu; hili ni jina la kijiji inapochimbwa.
Naomba nisieleze mengi bali niwape
assignment kwa kuwa wote tunatumia mtandao (internet) basi twende polepole katika hili.
1. Minjingu kitaalam inaitwa ROCK PHOSPHATE (PHOSPHATE ROCK) mbolea hii kitaalam na kupitia tafiti mbolea zote zenye asili ya rock phosphate zina Radioactive elements.These are heavy metals, e.g. cadmium (Cd), chromium (Cr), mercury (Hg) and lead (Pb), and radioactive elements, e.g. uranium (U), that are considered to be toxic to human and animal health.
Ingia google.com tafuta rock phosphate utajifunza na kugundua mengi! Sasa leo hii serikali imeipitisha kutumika nchi nzima!
2. Hizi element ni hatari kwa afya ya watu! Kuna fununu kuwa kiwanda kile cha minjingu ni mradi wa wakubwa ndo maana hili halizungumziwi. Watz tutaangamia.
Tafadhali hapa ukijulikana utapotea ghafla cha muhimu ulizeni watu wa utafiti juu ya hili! Sasa nashindwa kujua kwa nini wasiweke wazi kazi zao za utafiti juu ya mbolea hii?
3. Au basi watueleze asilimia (Percentage) ya Kila element ktk mbolea hii! Awali tumepiga kelele angalau watueleze % ya Phosphate katika Mbolea hii sasa hivi wameamua kuandika tu kwenye makaratasi wala hamna provu ya hiyo %.
Huu si umbeya atakaye bisha aweke prove hapa na mimi nitaleta document hapa itakayo umbua vyote!

Chemical analysis of potentially hazardous elements in sedimentary phosphate rocks
Country
Deposit
Reactivity
P[SUB]2[/SUB]O[SUB]5[/SUB]
(%)
As
Cd
Cr
(mg/kg)
Pb
Se
Hg
(µg/kg)
U
(mg/kg)
V
Algeria
Djebel Onk
High
29.3
6
13
174
3
3
61
25
41
Burkina Faso
Kodjari
Low
25.4
6
<2
29
<2
2
90
84
63
China
Kaiyang
Low
35.9
9
<2
18
6
2
209
31
8
India
Mussoorie
Low
25.0
79
8
56
25
5
1 672
26
117
Jordan
El Hassa
Medium
31.7
5
4
127
2
3
48
54
81
Mali
Tilemsi
Medium
28.8
11
8
23
20
5
20
123
52
Morocco
Khouribga
Medium
33.4
13
3
188
2
4
566
82
106
Niger
Parc W
Low
33.5
4
<2
49
8
<2
99
65
6
Peru
Sechura
High
29.3
30
11
128
8
5
118
47
54
Senegal
Taiba
Low
36.9
4
87
140
2
5
270
64
237
Syrian Arab Republic
Khneifiss
Medium
31.9
4
3
105
3
5
28
75
140
United Republic of Tanzania
Minjingu
High
28.6
8
1
16
2
3
40
390
42
Togo
Hahotoe
Low
36.5
14
48
101
8
5
129
77
60
Tunisia
Gafsa
High
29.2
5
34
144
4
9
144
12
27
United States of America
Central Florida
Medium
31.0
6
6
37
9
3
371
59
63
United States of America
North Carolina
High
29.9
13
33
129
3
5
146
41
19
Venezuela
Riecito
Low

HIVI NANI MWENYE JUKUMU LA KUWALINDA WATANZANIA?
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
8,065
Points
2,000

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
8,065 2,000
!
!
inategemea na definition yako ya mtanzania....kama ni akina fulani katika system basi ni TISS, polisisiem, JWTZ, Sheikh Yahaya na kadhalika.........ila aina sie basi ni sungusungu na mgambo ambao kimsingi hawana ujuzi wa hizi mambo
 
double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
2,096
Points
2,000

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
2,096 2,000
Watu wanakufa na kuugua huko Tarime kwa kemikali za migodini na sehemu zingine nyingi tu, wanakufa wengi kwa kukosa huduma za afya ambazo kimsingi wangeweza kupata, wanakufa wakulima na wafugaji kwa kupigania ardhi wakati nyingine inauzwa kwa wawekezaji na wanakufa vijana wanaojaribu jaribu na kujikuta kwenye madhara ya heroine. Sisi ni wa kufa tu mpaka tuseme basi. Asante kwa taarifa ya muhimu ili niseme basi.
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Messages
3,392
Points
1,500

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2013
3,392 1,500
HAPA SITAKI VYA PM WALA NAMBA NATAKA NIGUSE MASLAHI YA VIGOGO!Ndg zangu ktk Jf wote mmekuwa mkisikia juu ya mbolea ya MINJINGU.
Kitaalam hakuna mbolea iitwayo Minjingu; hili ni jina la kijiji inapochimbwa.
Naomba nisieleze mengi bali niwape
assignment kwa kuwa wote tunatumia mtandao (internet) basi twende polepole katika hili.
1. Minjingu kitaalam inaitwa ROCK PHOSPHATE (PHOSPHATE ROCK) mbolea hii kitaalam na kupitia tafiti mbolea zote zenye asili ya rock phosphate zina Radioactive elements.These are heavy metals, e.g. cadmium (Cd), chromium (Cr), mercury (Hg) and lead (Pb), and radioactive elements, e.g. uranium (U), that are considered to be toxic to human and animal health.
Ingia google.com tafuta rock phosphate utajifunza na kugundua mengi! Sasa leo hii serikali imeipitisha kutumika nchi nzima!
2. Hizi element ni hatari kwa afya ya watu! Kuna fununu kuwa kiwanda kile cha minjingu ni mradi wa wakubwa ndo maana hili halizungumziwi. Watz tutaangamia.
Tafadhali hapa ukijulikana utapotea ghafla cha muhimu ulizeni watu wa utafiti juu ya hili! Sasa nashindwa kujua kwa nini wasiweke wazi kazi zao za utafiti juu ya mbolea hii?
3. Au basi watueleze asilimia (Percentage) ya Kila element ktk mbolea hii! Awali tumepiga kelele angalau watueleze % ya Phosphate katika Mbolea hii sasa hivi wameamua kuandika tu kwenye makaratasi wala hamna provu ya hiyo %.
Huu si umbeya atakaye bisha aweke prove hapa na mimi nitaleta document hapa itakayo umbua vyote!

Chemical analysis of potentially hazardous elements in sedimentary phosphate rocks
Country Deposit Reactivity P[SUB]2[/SUB]O[SUB]5[/SUB]
(%)
As Cd Cr
(mg/kg)
Pb Se Hg
(µg/kg)
U
(mg/kg)
V
Algeria Djebel Onk High 29.3 6 13 174 3 3 61 25 41
Burkina Faso Kodjari Low 25.4 6 <2 29 <2 2 90 84 63
China Kaiyang Low 35.9 9 <2 18 6 2 209 31 8
India Mussoorie Low 25.0 79 8 56 25 5 1 672 26 117
Jordan El Hassa Medium 31.7 5 4 127 2 3 48 54 81
Mali Tilemsi Medium 28.8 11 8 23 20 5 20 123 52
Morocco Khouribga Medium 33.4 13 3 188 2 4 566 82 106
Niger Parc W Low 33.5 4 <2 49 8 <2 99 65 6
Peru Sechura High 29.3 30 11 128 8 5 118 47 54
Senegal Taiba Low 36.9 4 87 140 2 5 270 64 237
Syrian Arab Republic Khneifiss Medium 31.9 4 3 105 3 5 28 75 140
United Republic of TanzaniaMinjinguHigh28.68116234039042
Togo Hahotoe Low 36.5 14 48 101 8 5 129 77 60
Tunisia Gafsa High 29.2 5 34 144 4 9 144 12 27
United States of America Central Florida Medium 31.0 6 6 37 9 3 371 59 63
United States of America North Carolina High 29.9 13 33 129 3 5 146 41 19
Venezuela Riecito Low
HIVI NANI MWENYE JUKUMU LA KUWALINDA WATANZANIA?
mkuu hebu njoo ofisini kwetu na hizi takwimu utupe tutazifanyia kazi na wewe utakuwa mmoja wa heroes of this nation
 
Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
3,249
Points
2,000

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
3,249 2,000
mr kirangwa sidhani kama uko sahihi, sina ushabiki wowote wala sina maslahi yoyote ila nataka nitoe ukweli wangu kuhusu minjingu, kwanza niamini mimi nilifanya kazi Tanzania Atomic energy commission HQ arusha iko njiro wengi wanapita mionzi,tumefanya quality assurance ya pale minjingu zaidi ya mara 3 kwa kipindi mi nilikua pale,pili tumepima mionzi yaani radiation tukaona kuna hizi tunaita NORMS yaan Natural occurance radiation materials ambazo popote pale zipo,kifupi hazina madhara,tatu hii mbolea hawatoi katika miamba bali katika layers of fossils ya animals especially flamingo birds ambao miaka kama 800 hadi 1000 walipatikana kwa wingi sana katika ziwa manyara,na ndio maana hayo material yanachimbwa pembezon mwa ziwa hilo,na hakuna ubishi kwa sababu layer mbalimbali zinaonekana and the latest layer inaonesha hadi mifupa,hizi layer zilikua zinatokana na massive death ya hawa ndege.Tumejaribu pia kucheki composition ya mifupa ya ndege hao na tukalinganisha na mbolea viko sawa,ila sulphate inapungua kidogo kote kote so hawa wa minjingu wana add sulphte kwa mbolea yao.ILA SIKATAI KUWA KUNA MKONO WA MKUBWA KWA SABABU WANAMATATIZO MENGI TU KIAFYA NA WATU WANAPIGA SANA PESA PALE
 
Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
3,249
Points
2,000

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
3,249 2,000
mr kirangwa sidhani kama uko sahihi, sina ushabiki wowote wala sina maslahi yoyote ila nataka nitoe ukweli wangu kuhusu minjingu, kwanza niamini mimi nilifanya kazi Tanzania Atomic energy commission HQ arusha iko njiro wengi wanapita mionzi,tumefanya quality assurance ya pale minjingu zaidi ya mara 3 kwa kipindi mi nilikua pale,pili tumepima mionzi yaani radiation tukaona kuna hizi tunaita NORMS yaan Natural occurance radiation materials ambazo popote pale zipo,kifupi hazina madhara,tatu hii mbolea hawatoi katika miamba bali katika layers of fossils ya animals especially flamingo birds ambao miaka kama 800 hadi 1000 walipatikana kwa wingi sana katika ziwa manyara,na ndio maana hayo material yanachimbwa pembezon mwa ziwa hilo,na hakuna ubishi kwa sababu layer mbalimbali zinaonekana and the latest layer inaonesha hadi mifupa,hizi layer zilikua zinatokana na massive death ya hawa ndege.Tumejaribu pia kucheki composition ya mifupa ya ndege hao na tukalinganisha na mbolea viko sawa,ila sulphate inapungua kidogo kote kote so hawa wa minjingu wana add sulphte kwa mbolea yao.ILA SIKATAI KUWA KUNA MKONO WA MKUBWA KWA SABABU WANAMATATIZO MENGI TU KIAFYA NA WATU WANAPIGA SANA PESA PALE,
Muombeni Lema amulike huko,au tuungane tuitoe ccm mtajua mengi sana
 
Forum statistics

Threads 1,392,672
Members 528,664
Posts 34,114,299
Top