Hivi Serikali ilishaupeleka Muswada wa Sheria ya Kudhibiti na Kusimamia Biashara ya Vyuma Chakavu Bungeni?

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,948
1,515
Mnamo mwezi Aprili mwaka huu,Serikali kupitia Wizara ya Biashara iliahidi kuleta Rasimu ya Muswada wa Kusimamia na Kudhibiti Biashara Chakavu.

Bunge la Bajeti limekwishwa na hili la mwezi wa kumi na moja limeshakwisha.

Ninachoomba kujuzwa ni je hiyo Rasimu ilishaletwa Bungeni na kupitishwa ili Rais ausaini uwe Sheria?

Mimi kama mdau wa biashara hii ningependa kujua kazi hii itaendeshwaje ili nijipange.

Thanks in advance!
 
Back
Top Bottom