Hivi rushwa katika idara ya trafiki bado ipo?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Baadhi ya watumishi wa idara za serikali wamepunguza au kuachana na kuomba na kupokea rushwa Kwa muda mrefu sijasikia utafiti Kwa wanaojiita watafiti wakitoa tafiti zao has a Kwa idara ya usalama barabarani
 
Rushwa kwenye idara hiyo bado ipo.
Maelezo kamili mkuu ingia mtaani ni gari yako utajionea mwenyewe
Baadhi ya watumishi wa idara za serikali wamepunguza au kuachana na kuomba na kupokea rushwa Kwa muda mrefu sijasikia utafiti Kwa wanaojiita watafiti wakitoa tafiti zao has a Kwa idara ya usalama barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom