Hahaaaaa umeona eeeh. Yule Ana chapa kazi licha ya vitimbi vyakeangalau tufurahie vitimbi vyake, mwache aendelee hana madhara
anaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)Hahaaaaa umeona eeeh. Yule Ana chapa kazi licha ya vitimbi vyake
Huyu jamaa inabidi amtafute blogger awe ana updates vituko vyake maana daah...nyoosha uone, emb jifanye unajikuna, jifanye unajikuna halafu uone![/QUOTE
huyu mzee utafika wakati youtube watamlipa
Hahaaaaa ni kweli bwana yule ni muelewa hatishi ka wale wengine.anaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama comedian flan lakini maagizo yanatolewa na kufanyiwa kazi. Napenda staili yakeHahaaaaa umeona eeeh. Yule Ana chapa kazi licha ya vitimbi vyake
kabisa, angalau burudani ya awamu ya 5, lini umesikia ananyooshewa vidole?Hahaaaaa ni kweli bwana yule ni muelewa hatishi ka wale wengine.
Yule ni mchapa kazi sana aisee waulize Wana Tabora watakwambia.
Ni kama comedian flan lakini maagizo yanatolewa na kufanyiwa kazi. Napenda staili yake
Kwanini wewe usiseme Badala yake akawaulize tabora