assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Ana socialize na bashite
Ha ha ha aaaaaAna socialize na bashite
Ana socialize na bashite
Ana socialize na bashite
Mwanaume anayejiamini siyo mpaka kukunja makunyanzì ya uso,kutoa lugha ya vitisho, na kurusha mapovu. Huu ni uoga na sio kujiamini.Ndio anajamiiana
Achana na baba ubaya.... hapangiwi cha kufanyaManake akiongea huwa anakua serious sana.
liwe Jambo dogo au Jambo kubwa anaongea kwa ukali .
Tunaomba apunguze vitisho.
b careful ,watch it
sijaribiwi
sipangiwi Na MTU
weka ndani
fukuza
inasema kata, yani kata
da!.
Kwa kiengereza - SocializeAiseee! ulicho kiandika umejaribu kuweka kwa Kiswahili? una dhambi sana' dah!
Anatakiwa kukumbushwa kuwa urais sio vita!!Watch it, not to that extent.
Mhmm. Kwa kauli hizi za ovyo ovyo na vitisho visivyokuwa za maana ni wazi zinatia ukakasi na kinyaa kwenye taasisi kubwa kama ile ya uraisi.
Sidhani aliyopo kwenye kile kiti kama anatambua umuhimu wa kile kiti. Kile kiti sio cha kulipizia visasi,kukomoa na chuki dhidi ya wananchi wake.
Kwa mwenendo huu ni wazi kabisa tunakoelekea ni kwenye state of emergence kwa uoga wa watawala. Inatia huruma sana kwa kweli.
Hahaha hahaha au hamtoshelezi mana sio kwa hasira na jazba zile..Ana socialize na bashite
mkuu hembu tusaidie ilo swaliHoja za nyumbu.. Tunawacha muendelee kujadili pumba