Hivi profession ya Nape ni nini?!

Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!
Nape kama kweli unamwogopa mungu nijibie maswali haya, ni mara ya kwanza serikali kupoteza watu wanaoipinga? Haya hili la Ulimboka, serikali ilitangaza kuwafuatilia madaktari hasa viongozi kila wanapokwenda, wanazungumza na nani na nini, kwa nini basi wasijue wakati huo Ulimboka alitekwa na nani? haya, amefikishwa police post kwa nini hazikuchuliwa hatua za dhalula kumpeleka hospitali? Liwalo na liwe manake nini? kwa nini spika hataki lijadiliwe bungeni kwa visingizio visivyo vya msingi? Eti kesi ipo mahakamani, iweje basi madaktari wafukuzwe ili hali kesi ipo mahakamani? hukumu yenu ipo hapahapa duniani Serikali ya CCM ni wauwaji, hawapendi changamoto.
 
nape ni M ..se..n.ge..! kwa yote anayoyafanya hakuna mtu yoyote aliye makini anakubaliana naye!.
 
wewe, mimi ni mtu mzima sana, naweza kuwa babako...kama nilishakuwa na mamako akakuzaa wewe cannulla, kama tatizo lilikuwa tigo wewe usingezaliwa kabisa. najua mazaako hawezi kukwambia hili, lakini yawezekana mimi ni dingi yako.

ungej

ungejua thaman ya utu uzima wako usingekuwa mpuuz kias hicho na kuwa na domo chafu,,,,ww una uhakika gan ka mm siwez kuwa babaako
 
Inamaana bwana nape ndio tuseme umegoma kabisa kujibu haya wana jf wanayo hoji?c'mon guy be openly let this stunt issue be over.
 


Hakika mim sina wasiwasi na elimu yako Kijana Nnauye kwa sababu wewe jamaa unauthubutu na ni jasiri sana kwan umekuwa na uwezo wa kunifanya nikuone unamawazo thabiti yenye nia njema kutumikia watanzania. Hata kama wengine hawaoni mchango wako kitaifa, mim binafsi sio mwana ccm lakin najivunia kukuona mara zote ukitoa hotuba na maamzi yako huwa hayaghubikwi na uccm bali hujali hali halisi ya jambo na nafasi yako ktk jamii.
Jambo jingine ni hili kama mmoja wa viongoz ccm kitaifa ni jukum lenu kuinusulu hali hii maana ni kwel maisha yamekuwa mzigo kwa watanzania kutokana na viongoz wengi walioko madarakani kujisahamu kutokana na mema wayapatayo maana wao hawalimi, hawalipi kodi, mishahara minono, hawajui folen kwan wao hupita kwa ving'ora n.k.
Wewe ni nuru ya ccm kijana mahili na usiyebabaika, imefikia wakati sasa chama kishike hatamu kuwalinda watz.
By Sasabo.
 
wewe, mimi ni mtu mzima sana, naweza kuwa babako...kama nilishakuwa na mamako akakuzaa wewe cannulla, kama tatizo lilikuwa tigo wewe usingezaliwa kabisa. najua mazaako hawezi kukwambia hili, lakini yawezekana mimi ni dingi yako.

ungej

ungejua thaman ya utu uzima wako usingekuwa mpuuz kias hicho na kuwa na domo chafu,,,,ww una uhakika gan ka mm siwez kuwa babaako
 



Nape naona hata hilo darasa lako unalosema ulienda halikusaidii! Umekiri madai ya madaktari ni sahihi.......Kama darasa lako lingekuwa linakusaidia ungemshauri mwenyekiti wako atimize ahadi na makubaliano waliyoweka na madaktari kabla hawajagoma tena! Sasa waalimu nawo wametangaza mgomo, je kwa kutumia hilo hilo darasa lako mnawasubiri nawo wagome? Kakangu Nape hakuna marefu yasiyo na ncha, ccm imewatesa wananchi vya kutosha na wananchi tumeshawafahamu kumbuka kuwa unaweza kumsoga ngombe mpaka kwenye maji lakini huweze kumlazimisha kunywa maji! Hata ukiangalia bungeni hoja za msingi zinazotolewa na wapinzani zinapingwa na anna makinda na ndugai eti huko ni kulinda chama, waendelee kulinda chama, ukiambiwa binti yako anafanya ngono (malaya) kabla ya wakati na ukasema watu hawa hawampendi binti yangu wanamsingizia baadaye majibu yatakuja hadharani, kumbuka unaweza kuzini kwa siri lakini huwezi kuficha Ukimwi. Hukumu ya ccm tunayo sisi wananchi bado kitambo kidogo tu mtaipata, tunamshukuru sana Mungu kwa jinsi ambavyo amewapiga opofu na anaendelea kuwapiga upofu, nakuhakikisha hata mfanye nini Mungu hata acha kuendelea kuwa-adhibu labda salama yenu mtubu na muwaombe watanzania msamaha! na kama huamini endelea kuomba uwe na uzima uone kuzikwa kwa ccm kwani sasa hivi ccm iko mochwari inasubiri jeneza limalizike kutengenezwa.
 
wewe, mimi ni mtu mzima sana, naweza kuwa babako...kama nilishakuwa na mamako akakuzaa wewe cannulla, kama tatizo lilikuwa tigo wewe usingezaliwa kabisa. najua mazaako hawezi kukwambia hili, lakini yawezekana mimi ni dingi yako.



ungejua thaman ya utu uzima wako usingekuwa mpuuz kias hicho na kuwa na domo chafu,,,,ww una uhakika gan ka mm siwez kuwa babaako
 
I mean hute...............................hute anayejibizana na cannulla
 
Da nimesoma mpaka mwisho nikiamini kuwa nape atatoa njia mbadala ambayo anasema madaktari wangetumia, chonde chonde walio karibu nae wamshauri arudi kutuambia njia mbadala anayoizungumzia
 
Lusinde mshahara wake unamzidi Prof wa physics mara mbili
 
Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!

Ukweli utajulikana vipi wakati serikali iliyo tuma maofisa wake kutekeleza unyama ndio hao hao walio unda tume ya uchunguzi?
 
mkuu nimekupata unajua tena mtu ukiwa jembe la kuletea shida wenye wasiwasi wa kutojitambua wengi watapiga kelele na ukiona matusi jua msg sent kimewagusa hakuna mambo ya chama hapa swala ni kupambania maisha mazuri kwa WATANZANIA wakiwemo hao watoa matusi tabia mbaya sana tusi lamaanisha hawana adabu na hawajakua wakikua wataacha wapotezee watajipang pambana mkuu hii ndo spirit tunayotaka kazi bila kujali majasho. nice eve
 

bwana Nape nimekupata vizur sana kwa maelezo yako naona umeuliza hakuna njia nyingine ya kudai haki yao wale madaktari ?

jibu nimara ngapi madaktar wameongelea hili kwa mazungumzo maalum na serikari ili kutatua hizo changamoto zao,

serikar imechukua hatua gan za ziada za kutatua matatizo ya hospital zetu ,

ifimefika wakati wa kusema hapana, tatizo watu wengi mmekuwa ni wanachama wa vyama vya siasa hata kama chama tawala kinafnya vibaya unakubaliana tu na ubaya ili usipoteze ile nafasi uliyopewa sikwambie wewe hapa bwana nape,

but umefika wakati tuwe wanachama wa TANZANIA TUACHE KUWA WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASI
 
Badala ya kujenga hoja mnaumbuana, mnatukanana. Lets talk about major issues not people.
 

Hoja yako sikubaliani nayo nina madaktari rafiki zangu watatu nisingependa kuwataja kwa majina waliamua kuachana na udaktari si kwasababu ya mishahara bali kuona wagonjwa hawatendewi haki na madaktari wenzao ambao wametanguliza ubinafsi mbele hawa madaktari ni wacha Mungu sana walifikia kuniambia kuwa wagonjwa wengi wanakufa kwenye operesheni room si kwa sababu ya ukosefu wa vifaa au Mungu alipenda bali ni uzembe wa baadhi ya madaktari wenzao wapenda rushwa na wasio jali maisha ya wenzao pia madaktari baadhi kutokuwa na uwezo yaani uwezo wao hafifu na wanashangaa walipataje udaktri. Wakafikia kuniambia siku hizi hospitali za serikali bila kuwa na pesa au kujuana na mfanyakazi wa hospitali tegemea msiba nyumbani kwako kama mgonjwa ni mahututi.

Hawa jamaa huwezi amini mmoja kaamua kusoma MBA na yuko Voda mwingine alienda Uingereza kusoma Masters of Public Health yuko na NGO hapa nchini na mwingine alisoma pia Maters of Public Health ili awe mganga mkuu wa wilaya alete nidhamu makazini baada ya kuona hospitali binafsi zina vifaa vilevile kama vya government tena wakati mwingine hospitali za government zina vifaa zaidi ya hospitali binafsi hata mafao Clinical Officer (Tabibu) hospitali za serikali analipwa 600,000 kuanzia wakati hospitali za Misheni kama Nkinga Hospital, Bukumbi Hospital na Kolandoto Hospital wanalipwa 500,000 pungufu ya 100,000 lakini wale wa hospitali za Misheni wanachapa kazi kuliko wa hospitali za serikali ni kwa sababu ya poor management ya hospitali za serikali kwa madaktari kulindana bila kukalipiana.

Sijaongelea kada zingine kama wafamasia au manesi maana wao hawajagoma hata hivo daktari ana nguvu sana hospitalini hao wengine uliowataja hawana ubavu wa kuzua daktari matakwa yake. Mfano siku moja nilikuwa na mgonjwa hawa madaktari mmoja wao alikuwa bado anafanya kazi hospitali nilipofika daktari alichukua faili langu na kuanza kudemand hiki toka maabara hiki toka kwa mfamasia hiki toka kwa nesi na kila kitu kilienda smooth kwa mazingira ya hospitali daktari ni kama jenerali jeshini hana pingamizi hawa wengine wote ni wafuasi tu kwa hiyo daktari akiwa mzembe na hospitali itakuwa zembe akiwa mchapa kazi na hospitali nzima itachapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…