Nape kanyaga twende. Usiwasikilize hao wahuni wa CDM wanataka kukudivert maana walishajua ww ni Jembe ukiwafuata watakavyo chama kitapwayandugu yangu nqpe kumbe bado hujui siri za magamba japo upo mstari wa kukashifu madaktari, magamba hawana upendo wa kweli kaka, usione wamekupa shangingi ukajiona wewe ni nambari wani wa ukweli, si kweli! wakipoteza maslahi na wewe watakubadilikia na hatakuba kukufanyia zaidi ya yaliyomkuta shujaa ulimboka. inasemekana hata marehemu babako akifufuka leo kamwe hawezi kubaki magamba kwa yaliyomkuta. kaulize kolimba family, kwa taarifa yako hata wewe wanakutumia kama mshumaa.so kuwa makini na lugha zako
Nape kanyaga twende. Usiwasikilize hao wahuni wa CDM wanataka kukudivert maana walishajua ww ni Jembe ukiwafuata watakavyo chama kitapwaya
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!
Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.
Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/
MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
ccm mmekusudia kutesa wakristo, unyama wote unaofanyika wanafanyiwa wakristo.NYINYI CCM NA CUF baada ya uchaguzi wa 2010 viongozi wa kuu walikuwa wanalalamika udini na viongozi wenyewe ni waislam, Lakini siku zinavyokwenda tunaona makanisa yakichomwa hamfanyi lolote, mahakama ya kadhi mnairuhusu, umasho wakifanya maandamano hamwagusi kwa kuwa ni waislam, huyo doctor kwa kuwa ni mkristo ndio maana mmemteka, na yule polisi uchwara aliyekamatwa pale muhimbili anaitwa Abeid,Hii serikali ya awamu ya nne imejikita kuliuwa kanisa,viongozi kulalamikia udini wakati wao ni wadini fulani alafu baada ya muda wa dini nyingine wanaanza kuteswa.Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!
Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.
Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/
MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!
Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.
Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/
MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Labda alisoma kozi moja na Prof. Maji Marefu!
huyo hana proffession yeote ni poyoyo tu hana jipya tena wanaume wakiongea na proffession zao yeye inatakiwa akae kimya asubiri 2015 ang'olewe
Hivi prof maji marefu sio Mtanzania...?
Unajua kuna watu wangapi wenye elimu ya kiwango chake nchini...? ........
andrews,
ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda ccm wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa ccm kutotokea! Hili sina msaada kwao! hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na id zao halisi...sitishwi wala kubabaishwa na vivuli vya watu!!
swala la madaktari!!
sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. Nimesoma hili silionei haya, maana nimesoma si kwa kubahatisha, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.
Nilichouliza juu ya madaktari, je hakuna njia nyingine ya kudai masilahi yao mpaka kwa kuwaadhibu waliotoa pesa zao kwa njia ya kodi wao wakasoma mpaka kufika hapo? Je ingekuwa ni wazazi wao kwa mfano baba au mamaako wako tayari wawafie mikononi kisa kuna masilahi wanadai kwa serikali??
naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/
mnaotaka tujadili karibuni, wale wa matusi na kejeli sina muda mchafu wa kuwajibu.
Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!
Walimu wako wanapata/walipata shida sana kukufundisha. Rudia kusoma comment yangu. Nape ameulizwa Professional yake ni nini, katika majibu yake ili la Professional hakulijibu. Na kama unataka kuiona CV ya Prof. nenda kwenye hii link Parliament of Tanzania
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!
Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.
Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/
MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Nape kwanza nakupa pongezi kwa kujitokeza kwako mara kwa mara humu jamvini,umekua na tofauti na magamba wenzako ambao wanakaa kimya.Nape,inawezekana kweli umesoma lakini bado haujaelimika kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelimika.Hata mimi mara nyingi nimekuwa najiuliza kama kweli hiyo post uliyo pata imetokana na uwezo wako wa elimu au ni fadhili za ccm kwa marehemu baba yako,maana hii nchi ni ya kupeana tu.
Ebu fuata usemi wa wana falsafa usemao ukitaka kuwa mtaalam kaakimya.Nape, kabla ya kuongea chochote chukua muda wa kukitafakari kwanza ndipo useme,wewe uwa unakurupuka sana katika maongezi yako wakati wewe ni kiongozi mkubwa na watu wanatafakari unachosema.
Na kutokana na hilo watu(sio mimi) wanakuita vuvuzela.
Suala la madaktari wewe unalifahamu vizuri na jinsi serikari yako ilivyopuuza sina sababu ya kurudi,na sisi madaktari tunasikitika saaaana kwa jinsi wagonjwa wanavyoangaika na hatukupenda kuwafanja wagonjwa fimbo ya madai yetu ila serikali ndio imetufikisha hapa.

Madaktari bingwa wa nalipwa kwa dola ndugu,Mbona huulizi proffession ya Mbowe? Ana ofisi, gari la ofisi ya Bunge, Mshahara n.k. Mtaje daktari anaepata malipo sawa na Mbowe. Try to be more Analytical!!!!