Wakuu nimekuwa najiuliza Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kaishia wapi baada ya kuachia ngazi CUF?
Nafikiri ingekuwa ni wakati wake wa kutoa msimamo wake akiwa kama msomi na mwanasiasa mkongwe kufuatia uchaguzi uliofanyika Zanzibar.
Au ndo kusema kuwa Profesa naye kastaafu siasa?