Umeshawahi kutumia Linux OS japo kidogo tu? Kwenye Linux, kuna aina mbili ya watumiaji, Superuser (Root) na normal user. Android technology basically ni linux, so tunaposema phone rooting, tunamaana kuwa inakuwezesha wewe mtumiaji kuwa super user. Na unapokuwa Super user una uwezo wa kufanya vitu vingi zaidi tofauti na normal user. Mfano; ma file mengi unaweza kuyakuta yana read-only access, lakini ukiwa root unakuwa na uwezo wa kuya modify (read + write).
Nafkiri nimekusaidia kuelewa kwa kiasi flani.