Hivi Pesa za sarafu bado zinatumika Marekani?

Hivi Pesa za sarafu bado zinatumika Marekani?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,109
Reaction score
2,288
1.Hiv kumbe nchi ya marekani walikuwa na pesa za sarafu..na je bado wanatumia pesa za sarafu (coin) mpaka miaka ya leo? Na kama zipo ni kuanzia bei ipi?
Kuna sarafu nimeishika leo ni quarter dollar ya mwaka 1973 nikawa nashangaa.
 
Pesa za sarafu bado zinatumika USA, thamani yake inaishia 0.9 Dollar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom