Hivi PCCB hawatembelei mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

Mwana UoA

Member
Nov 8, 2011
47
6
jamani hali ya hewa si nzuri kwenye mashirika haya ya hifadhi ya jamii rushwa zinazotembezwa kwa ajiri ya ajira utashangaa mfano halisi ni nssf jamaa yangu mmoja kaniambia kama nina laki 8 nitapata job au nijicomiti kuachia mishahara miwili. Sasa mie nipo tayari kutoa ushirikiano kwa takururu sijari kukosa kazi nchi hii ni nchi ya vimemo ?
 
upo mkoa au wilaya gani? maana hao jamaa wapo kila mikoa na wilaya zote tanzania bara.
 
ndugu usishangae hilo,hyo ndiyo hali halisi katika nchi hii,HATA hao PCCB wamepata kazi kimchongo sasa kesi ya ngedere unapeleka kwa nyani.Kaza buti kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom